Ardhi yetu

654

Senior Member
Feb 1, 2012
172
40
Wakuu,
Kuna hili liliwahi Kusemwa hebu tulijadili kwa kutukumbusha wajibu wetu na Mstakabali wa Tanganyika:


"Katika nchi yetu, ambayo Waafrika ni maskini na wageni ni matajiri, kuna uwezekano mkubwa kwamba Mwafrika akiruhusiwa kuiuza ardhi, katika miaka themanini au miaka ijayo, ardhi yote ya Tanganyika itamilikiwa na marajiri wageni na wenyeji watakuwa watwana. Lakini hata kama wageni wasingekuwa matajiri, litaibuka tabaka la watanganyhika matajiri wajanja. Tukiruhusu ardhi iuzwe kama kanzu, katika muda mchache, kutakuwa na kundi dogo la waafrika wakiwa na ardhi na walio wengi watakuwa watwana" (Mwalim. Julius K. Nyerere, 1958)
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    95.5 KB · Views: 62
Umetulimit kujadili tunaotumia simu za kung-fu bin shandong!!!!
 
Wakuu,
Kuna hili liliwahi Kusemwa hebu tulijadili kwa kutukumbusha wajibu wetu na Mstakabali wa Tanganyika:

du kaka umenifanya ninyong'onyee ghafla na nimekuwa na hasira zaidi na hawa nyinyiem,

inatia hasira na uchungu,sijatofautishi na maneno ya nabii
 
Kweli Mwalimu alikuwa anaona mbali sababu hotuba ya jana ya jk ina baadhi ya mambo ambayo Mwalimu aliyakemea hususani suala la uwekezaji Katka kilimo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom