Ardhi University ,Sua, IFM na Mzumbe!!

mazee minaumwa yan cjielew nalog udom inagoma kavp machizi wangu postin humu mtusaidie wenye vimeo tupo porini ifakara!
 
mazee minaumwa yan cjielew nalog udom inagoma kavp machizi wangu postin humu mtusaidie wenye vimeo tupo porini ifakara!

mbona hiyo Selection ya UDom ipo humu inazagaa Daily...
cha msingi lazma uwe na Adobe reader au Quick office ya Simu za Android unapata...
ila Pia kumbuka hiyo Selection ni Excel hivyo Quick office itakuwa bora Zaidi..
 
Back
Top Bottom