Aptitude test ya NSSF kesho (31/12/2011) yavuja na kusambaa mitaani:

2015

Senior Member
Aug 13, 2011
123
40
Ndugu zangu na masikini wenzangu ambao hatuna mtu tunayemjua katika kipindi hiki kigumu cha kupata kazi ili atusaidie kupata kazi tuna wakati mgumu sana wa kufanikiwa.
Mimi ni mmoja ya watu walioiywa kwenye aptitude test kesho IFM lakini nimesikitishwa sana nilipopata taarifa kuwa test hiyo tutakayoifanya kesho watu wanayo toka jana na imesambaa sana hasa hapa dar.
Ombi langu kwa wale mliopata acheni ubinafsi tuwekeeni walae maswali mawili matatu hapa jamvini angalau na sisi masikini tupate hizo na nyingine tutamuachia referee wetu ambae ni MUNGU
 
1.state the law of floation. 2.what is EPA 3.DR..and CR explain the origin of DR(Debit) and CR(Credit) 4.Mkwawa alikufa mwaka gan? Kazi kwako mkuu
 
1.state the law of floation. 2.what is EPA 3.DR..and CR explain the origin of DR(Debit) and CR(Credit) 4.Mkwawa alikufa mwaka gan? Kazi kwako mkuu

dr dau anaish wapi?nembo ya nssf ina rang ngapi?,nssf ina mataw mangapi?je nssf inatoa huduma kwa watu wa aina gani?
 
Ndugu zangu na masikini wenzangu ambao hatuna mtu tunayemjua katika kipindi hiki kigumu cha kupata kazi ili atusaidie kupata kazi tuna wakati mgumu sana wa kufanikiwa.
Mimi ni mmoja ya watu walioiywa kwenye aptitude test kesho IFM lakini nimesikitishwa sana nilipopata taarifa kuwa test hiyo tutakayoifanya kesho watu wanayo toka jana na imesambaa sana hasa hapa dar.
Ombi langu kwa wale mliopata acheni ubinafsi tuwekeeni walae maswali mawili matatu hapa jamvini angalau na sisi masikini tupate hizo na nyingine tutamuachia referee wetu ambae ni MUNGU

Duhh si mchezo paper limesha liki tayari?
 
Acha uoga, kafanye test hiyo. Yaani mpaka aptitude test nayo upewe desa, khaa!
 
Wabongo kama tumefikia hivi we are in a big trouble, hata aplitude test lina leak na watu wanakula desa!
 
Katika akili yako unadhani hawa jamaa wanaangalia aptitude test!!!!!!pale ni vimemo na kujuana!!!utashangaa watakaoitwa ni wale ambao leo hawakufanya hiyo test!!!wanafanya hivyo ili waonekane wapo fair tu.
 
Mambo mengine wewe yapotezee tu na huenda watu wakawa wanazusha tuu na isiwe kama ulivyosikia!!
Mimi mbona nImeenda kufanya leo na sijasikia hiyo habari ya DESA.
"KAMA IPO IPO TU" hata wafanye vipi ukiona hujapata basi ujue si ridhiki yako!!
 
Mkuu umeonyesha ulivyo kilaza, na jinsi gani ulivyopata hiyo Bachelor yako!
 
du, hyo kali ya mwaka. Uzuri tumemaliza test salama. Tusubiri matokeo kama bahati ni yako utapata hyo kazi. Acha uoga. Mtegemee Mungu bible inasema amelaaniwa amtumainie mwanadam.
 
acheni uongo na msiharibu sifa za watu na taasisi,mbon kuna ndugu yangu amefanya hajakuta swali hata moja mliloweka huku?m mnatafuta pepa za interview ndo maana mnapewa feki na kupoteza muda wenu bure badala ya kusoma.
 
Kuvuja kwa paper sio issue kwa mtazamo wangu. Hata tulipokuwa mashuleni paper zilikuwa zinavuja na wengine haziwafikii lakini bado wanafaulu, ni suala la kujiandaa na kujiamini tu.

Tatizo langu kwa nssf ni kuita watu interview kwa kuwatumia sms alhamisi tarehe 29/12/2011 na kutakiwa kufanya registration tarehe 30/12/2011. Sasa imagine mtu yuko mikoani huko kama Arusha, Mwanza, Mbeya na kwingineko, anawezaje kujiandaa kwa safari ndani ya kipindi kifupi kiasi hicho? hapa ni dalili za wazi kwamba kuna mchezo mchafu unachezwa, ili watu wengi wa mikoani wasifike, ili wenye ndugu na jamaa nssf wapate ajira kiulaini.

Na vile vile kuna tuhuma kwamba nssf inatoa ajira kwa kupendelea watu wenye imani fulani. Sasa hapo wasiwasi unazidi kuongezeka.
 
acheni uongo na msiharibu sifa za watu na taasisi,mbon kuna ndugu yangu amefanya hajakuta swali hata moja mliloweka huku?m mnatafuta pepa za interview ndo maana mnapewa feki na kupoteza muda wenu bure badala ya kusoma.
kusoma kupi unakokuongelea?
 
Katika akili yako unadhani hawa jamaa wanaangalia aptitude test!!!!!!pale ni vimemo na kujuana!!!utashangaa watakaoitwa ni wale ambao leo hawakufanya hiyo test!!!wanafanya hivyo ili waonekane wapo fair tu.
wanadhan wataangaika kusaisha, nimeenda kutimiza wajibu 2
 
Back
Top Bottom