April mosi, Arumeru jihadharini na sikukuu ya Wajinga

sexon2000

JF-Expert Member
Apr 18, 2010
299
65
Wana Arumeru, tarehe moja mnajukumu kubwa sana. Ili watu wa maeneo ambayo yana washabiki wengi wa chama tishio kwake wachanganyikiwe na kushindwa kupiga kura, ujumbe wa kuvuruga watu unaweza tawanywa asubuhi ya siku ya uchaguzi.

Mfano "Uchaguzi umeahirishwa" au

Mgombea wa chama X kajitoa msimpe kura au

Kituo A kimehamishiwa eneo jingine na upotoshaji mwingine kwa manufaa yao binafsi.

Wanaopiga kampeni wanajukumu la kwataarifu wana Arumeru wasidanganyike.

Hii ni hofu yangu tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom