Apps kutoka device storage to SD in S5

124 Ali

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
7,802
5,494
Wakuu nashindwa kuhamisha app nikijaribu inaniambia not enougj space wakati nina 16gb internal na 16 GB sd card.
Msaada tafadhali
 
Wakuu nashindwa kuhamisha app nikijaribu inaniambia not enougj space wakati nina 16gb internal na 16 GB sd card.
Msaada tafadhali
Root simu kisha weka app kama app to sd au system app remover ina hyo option
 
kama ni s5 nenda marshmallow halafu tumia adaptive storage kuifanya sd card iwe kama internal memory
 
Mkuu mkwawa tayari ipo marshmallow nafanyaje hiyo adaptive storage?
Simu yangu ni S5 900f
mkuu samsung bado hawajaieka hii feature kwenye rom zao za touchwiz lakini ipo ndani ya marshmallow hivyo utahitaji pc na usb cable na software ya adb kueka hio memory card kama internal memory.

ila jambo moja muhimu hio sd card ni class ngapi? kama ni slow tegemea simu yako iwe slow sana
 
Mkuu hiyo hapo chini nahisi ni class 10.
1477304855985.jpg
 
yaah hio ni nzuri tena sana tu, sababu pia ina hio alama kama ya U na 1 ndani yake inamaana ni UHS 1, sema still huwezi linganisha na internal storage, hivyo usitegemee speed kivile.

angalia hii video inaonesha hio njia

link ya kudownload fastboot na driver pamoja na tutorial ya maneno
How to Convert MicroSD into Internal Storage for Galaxy S7 & S7 Edge! [Adoptable Storage] | HighOnAndroid.com

Chief ahsante sana bado sijaifanyia kazi kutokana na ukilaza wangu maeneo hayo ila nita mconsult mpwa wangu mmoja atafata maelekezo yako !
 
Back
Top Bottom