Apple v/s Dell Computers

Nimeshawahi kutumia Mac mkuu both iMac and Macbook kasoro Mac pro ndio sijawahi kuigusa. The reason why siipendi Mac ni kwa sababu software nyingi especially games zinasupport Windows ndo maana naipenda zaidi Windows kuliko Mac. But kama watafanya jitihada ili software nyingi especially games zisupport Mac then hata mimi nitaanza kutumia Mac. Kuniambia nitumie Mac instead of windows ni sawa na kuniambia nitumie Windows phone, BB OS or iOS instead of Android maana android ndio smartphone OS pekee inayosupport Apps nyingi na games lakini pia ni rahisi kutumia.

una good reasoning mdogo wangu nitafute b aadae nikupe b ia
 
ASUS X53E RAM 6.00 GB, HDD 640 GB,Proccessor Intel(R) Core(TM) i5-2430M @ 2.4GHz,2401 Mhz, 2 Cores, 4 Logical processors.ni laki 8 tu.






 
Nilizoweka mimi zote ni make za 2007, macbook air na latitude d630. Hii uliyoweka wewe ni PowerBook 100, ni ya mwaka 1991 kama skosei, wakati huo dell wana 325N
View attachment 106062
Nadhani hata kwa macho unaona tofauti, apple walikuwa tayari wanatumia trackball kwenye notebooks zao, complete na mouse buttons!...NOW THATS INNOVATION.
Hii inapiga FIFA?? Ninunue
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom