Apple launches its iCloud

rutta12

Member
Feb 8, 2011
19
0
NEW YORK (CNNMoney) -- Apple CEO Steve Jobs unveiled iCloud, a free wireless storage and syncing service, at Apple's annual Worldwide Developers Conference on Monday.
ICloud automatically stores content to Apple's servers (also known as "the cloud") and wirelessly pushes information to all of a users' Macintosh computers or iOS devices, like the iPad, iPhone and iPod Touch. The new service will launch this fall, Apple said on its website.
The splashiest part of iCloud is its iTunes integration. When a user purchases a song in iTunes, it will automatically push to all other devices that run iTunes for free.
 
ha ahaa haha naona sasa PCs & laptop soon will be things of the past,like smartphone or ipad wengine walifuata sasa tutaona makampuni yatakavyo hamishia kila kitu in cloud,is not new thing/tech lakini Job ataifanya mainstreamingawaje microsoft,google wamejaribu bila mafanikio,hii itakula storage business ...mbaya zaidi sioni blackberry waki survive hii,Steve Job is da man!!!
 
Huwezi kusahau Laptop waala kifaa chochote cha computer!,

bilashaka kwa apple wao watafanya juuu chini kuweza kuwezesha kila product yao iweze kufaidi product hiyo!

Creative!
 
Bila net hiyo mikogo yote kazi bure.

Apple ni kiboko ya wote akina Bill Get na Ubuntu hazifuwi Dafu kwa System ya Apple Mac OSX ni nzuri sana hata mimi natumia nimechoka kutumia Windows XP,Windows 7 kwangu mimi zimepitwa na wakati kiboko ya wote ni hiyo Macintosh OSX
 
Untitled.jpg
Hapo sasa hawa jamaaa ni noma!
 
Lakini nadhani inahitaji internet strong na ya uhakika kila wakati,,,kwa nchi yetu cidhani kama tutaifaidi kwa sasa
 
Lakini nadhani inahitaji internet strong na ya uhakika kila wakati,,,kwa nchi yetu cidhani kama tutaifaidi kwa sasa

...kwani ile new cable sijui ya Indian ocean imefikia wapi?last time nilisikia imeshaingia Dar na price zilikuwa zishuke like 90% na services/speed zingekuwa improved big time,what happened?
 
Huwezi kusahau Laptop waala kifaa chochote cha computer!,

Creative!

Hizi smartphone/ipad,tablet zina power na uwezo wa kufanya kila kitu kuanzia documents,music,contacts,calendars,apps and more,kwani laptop/desktop zaidi ya storage capacity zinazidi nini smartphone/ipad?i think cloud computing will solve storage problems for smartphone/tablets etc,na hii 4g/LTE with lightining speed ndio itafanya tusahau hizo laptop kabisa...anyway sina uhakika lakini naona tunaelekea huko.
 
Apple ni kiboko ya wote akina Bill Get na Ubuntu hazifuwi Dafu kwa System ya Apple Mac OSX ni nzuri sana hata mimi natumia nimechoka kutumia Windows XP,Windows 7 kwangu mimi zimepitwa na wakati kiboko ya wote ni hiyo Macintosh OSX
Sasa wewe ndio unaongea vitu gani? Hivi tupo ukarasa mmoja kweli?
 
ha ahaa haha naona sasa PCs & laptop soon will be things of the past,like smartphone or ipad wengine walifuata sasa tutaona makampuni yatakavyo hamishia kila kitu in cloud,is not new thing/tech lakini Job ataifanya mainstreamingawaje microsoft,google wamejaribu bila mafanikio,hii itakula storage business ...mbaya zaidi sioni blackberry waki survive hii,Steve Job is da man!!!

Kuna implementations nyingi za cloud computing. Sasa utasemaje google, na microsoft wamejaribu wameshindwa? Sasa unaeza kufungwa document attachments kwenye HOTMAIL bila ya kuwa na office (Software from the cloud). Google, utasema nini? unafungua office document online, unastore and pia unafanya software development online. google has Chromium OS, a browser-based operating system. Storage is not the only implementation ya cloud.
 
hii icloud mtandao ni mzuri yaani utaweza kwenda kwa komputer nyingine na kuweza kupata document zako au muziki wako kwa hiyo computer kama imeinganishwa na icloud.
 
Back
Top Bottom