Apple Ipad (Best Xsmas Offer)

mbona unaharibu biashara ya mwenzako unatuchanganya sisi wanunuzi, si uanzishe thread yako uuze hizo za dola 900 tuzione[/QUOTE

Really!, umechanganywa na kitu gani. Nimekupa choices, and business is all about choices. Unachonganyikiwaa ni nini, I mean umechanganyikiwaje, seriously sioni cha kukuchanganya, after all bei yake iko chini kuliko ya kwangu, and i just wanted to know, kama ya kwake ni mpya au ni used kwa kuwa kwa bei hiyo ikiwa mpya leave a lot to be desired!!
 
Mimi nimekupa boost, wewe ya kwako BEI iko chini, zaidi ya bei ya hizo za kwangu with same specifications and extras. Badala ya kuniponda ungenipa complements, na kutoa maelezo ya ziada ili watu wajue these items are not cheap, and yours is very cheap indeed. I am sorry kama umeona nimekuharibai business.

Thread haina hati miliki, mimi nimeshaweka thread hapa na watu wanatangaza biashara zao on top ya thread yangu. Tukianza kuweka huo ubinafsi wa thread, zitakuwa nyingi mno hata kutafuta kitu itakuwa shida, labda tuanzishe craig list kama ilivyo kule marekani ndio unaweza kuhodhi link yako
But all in all, i am sorry OK
Sawa mkuu nimekuelewa, ila nilichoona ni kwamba kwa hali ya sasa jinsi ilivyo ukiuza gadjet kama simu kwa bei inayofika 1mil + inakuwa vigumu sana kupata wateja, mimi siiuzi kwa faida kwakuwa sio mfanya biashara ni kwamba natafuta hela ya kuongezea ninunue kitu kingine ndio maana bei ipo chini, hatahivyo ningalijua toka mwanzoni ningepandisha bei kidogo lakini kwakuwa nishapost basi mwenye kubahatika kila kheri',,:poa :poa
 
Brakelyn weka number ya ukweli tuongee biashara. Ukiona taaabu ni-pm tu mkuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom