Bei safi kabisa, si ya kukosa hii. Karibuni
Samahani jamani mi bado limbukeni wa hizi tablets je betri ikiisha unaweza kubadilisha kama tunavyofanya kwenye laptops,
Samahani jamani mi bado limbukeni wa hizi tablets je betri ikiisha unaweza kubadilisha kama tunavyofanya kwenye laptops,
Brand: APPLE
Storage: 32 GB
Screen size: 9.7 inches
Free delivery (Dar), Order by PM
Price: TZS 750,000 only.
Asenti kwa kunifungua macho kwa hiyo battery ikishaanza choka ndio imekulaga kwangu ishi mayooHizi kubadili battery si rahisi kaka; BTW hiyo location yako ni LIKULUFUSI au LIKUYUFUSI? hahahaa
Kaka ushawahi kutumia simu za iPhone?Samahani jamani mi bado limbukeni wa hizi tablets je betri ikiisha unaweza kubadilisha kama tunavyofanya kwenye laptops,
Asenti kwa kunifungua macho kwa hiyo battery ikishaanza choka ndio imekulaga kwangu ishi mayoo
Sijawi kaka mimi ni muumini wa BB enh kuna nini kwenye I phone nijuze plsKaka ushawahi kutumia simu za iPhone?