Naushindani wote uliopo sasa hivi nazani wamejitaidi angalia hiyo graph sales zao zipo bado stable any company operating now would like to be in their place
Samsung makes $7.4 billion in Q3 profits, surpasses expectations -- EngadgetHabari ndo hiyo sasa nasubiria matokeo ya nokia,RIM,microsoft na sumsung tuone nani yupo creative i.e. product out of the shelves money in the bank siyo ushabiki tuu.
Wamedisapoint wamemiss expectations.
Habari ndo hiyo sasa nasubiria matokeo ya nokia,RIM,microsoft na sumsung tuone nani yupo creative i.e. product out of the shelves money in the bank siyo ushabiki tuu.
Wamedisapoint wamemiss expectations.
Hisa za apple zimekuwa zikishuka kwa mda now kidogo kidogo mpaka $609 kwa share moja lakini nategemea mauzo ya ipad mini yanaweza push share price up to $650 per share by mid november. hizi habari hazijaafect bado shares lakini leo wakianza kutredi lazima zitaanza kupandaBora useme wewe
Ya nokia yametoka kala hasara million za kimarekani 700 lakini q1 alikua hasara bilioni za kimarekani 1.7 so graph yake inapanda na amepita expectation ikasababisha hisa zake kupanda kwa asilimia 8
Tutajieni hisa za apple zimepandaje baada hio result
Source nenda Engadget post ya earnings za 4Q zipo kwenye highlights ya main pageMkuu nina mashaka na hizi data zako nahisi unatudanganya hapa.
Ukisikia q4 ina maanisha robo ya 4 ya mwaka ambayo ni mwezi wa kumi (huu tulionao) wa kumi na moja na mwezi wa 12 iweje watoe result za q4 wakati haijaisha ndo inaanza au wao watabiri washaona
Source plzzzzzz
Source nenda Engadget post ya earnings za 4Q zipo kwenye highlights ya main page
engadget said:remember this iphone has sold out for only 9 days this quarter
Sijajua unabisha nini au ni wivu nokia hawapo level hiyo...... by the way result kama hizi nikawaida kwa apple unless u can provide us with different source I c no point ya kuzibishia hizi resultsWamekosea apple na hao engadget wamecopy na kupaste bila kuuliza maana nimeisoma habari kwa makini kuna sentesi inasema
Na iphone imetoka 21 september siku tisa kabla ya kuisha mwez wa 9 na mwisho wa q3
Sijajua unabisha nini au ni wivu nokia hawapo level hiyo...... by the way result kama hizi nikawaida kwa apple unless u can provide us with different source I c no point ya kuzibishia hizi results