APP hii inanyonya chaji kwenye simu yako, ifute!

tumia facebook lite.

na sio kwamba inakula chaji tu, inachukua space kubwa na kula ram nyingi.

na fb ni afadhali app za kijinga kama anti virus mbali mbali, clean master, du battery booster, 360 security, na zifananiazo zinakula zaidi charge
Hivi Clean master na yenyewe Ni App ya Kijinga.. Sijakupata Hapo Mkuu Chief
 
Hivi Clean master na yenyewe Ni App ya Kijinga.. Sijakupata Hapo Mkuu Chief

ndio mkuu ina faida chache kuliko hasara

1. nenda playstore angalia ratings zake zilivyo nyingi, yani hakuna uwiano wa downloads na rating sababu wanajirate autimatic bila idhini yako. kama wanaweza fanya hili je kuna mangapi wanafanya bila ruhusa yako?

2.Ram management
unless unatumia frodo au android za zamani ndio utahitaji app ikufanyie hii kazi ila android mpya zote zinafanya kazi zenyewe na kila clean master ikifunga apps zinajifungua hii process ikiendelea simu inakuwa slow na nzito.

3. clearing cache
cache zenyewe zinafanya apps ziload faster vile vitu vinavyotumika mara kwa mara vinahifadhiwa kwenye cache. hivyo unapoclear cache za app na clean master inamaana next time ukiifungua hio app itaanza upya kuload na pia itazieka tena cache. hii pia inakuwa process ya kujirudia clean master anafuta app inarudisha.

ndio maana kila saa kila master inapata junk files.

4. ni ant virus
siku hizi inataka permission ya ant virus ina maana ina controll ya simu nzima na kila unachofungua inakiscan simu inazidi kuwa nzito.

5. pia developer wa cleanmaster ni cheetah mobile ambao ni subsidiary wa kingsoft hivyo usiwaamini kabisa wana case kibao za kuiba data.
 
Na app nyingine zinazotumia ram kubwa na kumaliza chaji ni zipi
 
Wakuu,

Zipo taarifa kuhusu App ya Facebook kwenye hizi smartphone zetu kufyonza chaji kupita kiasi wakati wa matumizi.. Tafiti za wanateknolojia zinaonyesha kwamba App hii ikifutwa huongeza uhai wa chaji kwa zaidi ya asilimia 20.

Inashauriwa kutumia Browsers (haswa Chrome) badala ya APP ya mtandao wa Facebook kama mtu anahitaji kuwa na a longer battery life..

View attachment 320989

=====================

Uninstalling Facebook app saves up to 20% of Android battery life

Facebook does not have the greatest track record with its Android app. Users have long complained about performance issues and it sucking up battery and last year Facebook’s chief product officer, Chris Cox, took the unusual step of making his staff ditch their iPhones and move to Android until they sorted out the issues.

But the problems have remained, and recently they led the Android blogger Russell Holly to dump the app, starting a chain reaction which revealed something rather interesting about the app’s performance. Prompted by Holly’s revelation that life on Android was better without Facebook’s app, Reddit user pbrandes_eth tested the app’s impact on the performance of an LG G4.

They found that when the Facebook and Facebook Messenger apps were uninstalled, other apps on the smartphone launched 15% faster. They tested 15 separate apps, and documented the findings, leading other reddit users to test other devices. They found similar results when testing for app loading performance.

After reading Holly’s piece, I had also decided to explore other options for accessing Facebook, to see if, rather than app loading, I could improve my smartphone’s battery life.

I left the Facebook Messenger app installed, but swapped the Facebook app for an app called Metal, which acts as a wrapper for Facebook’s mobile site. Over the course of a day my Huawei Nexus 6P had 20% more battery. This was true on average for every day for the week tried.

In Metal I was using the same notifications and accessing the same features as I had just a week earlier through the Facebook app, so why the difference?

Despite the Facebook app not showing up as using a significant amount of power within Android’s built-in battery statistics, it was evidently consuming more power in the background than it needed to.

Source: The Guardian
Thank you
 
haina umuhimu inakula ram mb ngapi kwako?
Kwangu ipo ivi
dd1ed8ce254138dc06d042565bb04f9b.jpg
 
Kwangu ipo ivi
dd1ed8ce254138dc06d042565bb04f9b.jpg

app umeeka kukuongezea speed inakula ram mb 125, na pia kwenye process inazo nne compare na wenzake 1 hivyo ina maana na cpu pia inatumiwa sana na hio app.

bila kuambiwa chochote nafkiri utakuwa umeelewa kama inaongeza au inapunguza speed
 
Na hii App ya carlcare ina kazi gani...??
 
Mm nafikilia kuroot make cm yangu ni lg ya,4.5.2 ila naona uwa inakaa na change masaa 7-8 kama unatumia internet na nilitoa hzo app zote nikabaki na za kawaida sasa cjui nifanye ili iweze kukaa na moto
 
Back
Top Bottom