APP hii inanyonya chaji kwenye simu yako, ifute!

mule mule tu inasave vipi battery?
ata sijui nieleze vp kwa mfno nikiwa natumia inaleta notification kiwa kina APPS 5 zinatumia data secrety au inaleta kuwa kuna apps 6 zinaifanya simu kupata moto sana so nikibonyeza kitufe fulani ina kill prosec ya hiyo notification iliyoleta na kweri simu inapungua moto inapoa so kwa mm ni msaada sana sijui lbda 7bu natumia pro au ni vp ila inanivutia
 
ndo hapo sasa jiulize kwanini kila saa inakuambia app fulani inafanya kitu fulani.

inamaana kila ikizifunga zinajifungua. hakuna njia nyengine android ndio ilivyo.

kama unataka kusave battery tumia battery saver inayokuja na simu sababu ile inafanya kazi kuanzia hardware level.
 
Kwa Mfano nikitoa du booster,clean master na 360 security Je hakutakua na tatizo kwenye simu kutosafishwa virus
 
Hapa ndipo ninapoipendea techno yangu...I'll ya ne pas de complication tu peut utiliz ca
 
Kwa Mfano nikitoa du booster,clean master na 360 security Je hakutakua na tatizo kwenye simu kutosafishwa virus

malware wa android akiingia hakuna hata app hata moja ya hapo juu itakayokulinda, just make sure unadownload tu apps zako mahala salama.
 
tumia facebook lite.

na sio kwamba inakula chaji tu, inachukua space kubwa na kula ram nyingi.

na fb ni afadhali app za kijinga kama anti virus mbali mbali, clean master, du battery booster, 360 security, na zifananiazo zinakula zaidi charge
Mkuu Chief Mkwawa heshima kwako,ktk windows phone wana mbadala wa hii app?au inahusiana na android tu,maana nimesearch store hii facebook lite hakuna..nitoe gizani kaka mkubwa.
 
Mkuu Chief Mkwawa kwa hiyo unashauri hii Device administrator kui diactivate au?
 
hapana hakuna, ile ni app ya java kama simu za feature phone mfano Nokia Asha, hivyo ndio maana imekuwa rahisi kuiport Android sababu nayo inatumia java.

wp itabidi wacode from scratch na sidhani kama watafanya hivyo.

ila apo ya wp si nzito kama ya android
 
app zilizo katika device administrator inatakiwa uwe makini kuzieka au kuzitoa.

sio mbaya ant theft au android device manager zikiwa hapo sababu zina msaada wake

ila app ambazo ni suspicious zitaiba tu data zako
 
Thanks Chief ,pa1
 
Chief asante kwa ushauri mzuri, mimi natumia LG G2 na huwa simu yangu nikiwa naitumia huwa inakuwa ya moto sana kiasi kwamba mda mwingine inajizima automatic, baada ya ku install app ya fb na fb messenger nimeona mabadiliko maana hata charge inadum zaid ya hapo mwanzo. Kwa ushauri wako nilidownload fb lite na naiona ni mbadala mzuri sana, tatizo lipo kwenye kuplay video clips, naomba msaada niweze kuipata hiyo huduma ya kuplay fb video clips kwenye fb lite. Asante!
 
ukiplay video kunatokea nini? au hazitokei kabisa? inaruhusu kusave video ili uziangalie baadae?
 
Hii app binafsi huwa ninabifu nayo, simu yoyote ninayoitumia cha kwanza nikufuta hiyo App.
 
tumia facebook lite.

na sio kwamba inakula chaji tu, inachukua space kubwa na kula ram nyingi.

na fb ni afadhali app za kijinga kama anti virus mbali mbali, clean master, du battery booster, 360 security, na zifananiazo zinakula zaidi charge
App zote hizo mkuu kwangu nilitupilia mbali siku nyingi, pamoja na kupunguza App zenye matumizi ya kufanana.
Wengi tunao tumia hizi smartphone tunakaulimbukeni flan hivi kwamba kuwa na App nyingi ktk simu ndio ujanja pasipokujua kuwa ni kujimaliza mwenyewe.
 
Back
Top Bottom