App bora za Kiswahili

Song il gok

JF-Expert Member
Feb 23, 2015
878
936
Wadau nimekua nikifanya utafiti ili kufahamu applications bora kabisa za kiswahili zilizotengenezwa Tanzania ama na watanzania lakini sijapata nyingi zaidi ya Jamii Forum Millard Ayo na Pamoja app.
Je kuna mtu mwingine anafahamu app yoyote ya kitanzania?!
 
Ipp Poa app ambayo ni ya mtandao wa kijamii, kuna hadithi app inahuska na maswala ya hadith kama ww nj mpnz wa hadith
 
Hakuna kitu sipendi kama hilo neno "app" hilo wanalifanya wabongo tu, ni ushamba
PamojaApp, PoaApp, HadithiApp, tunajua tayari kua ni application, kwa nini wasiite app Pamoja, Poa inatosha kabisa. Ujinga huu
Kivipi....
 
Kila anaetengeneza na uamuz wake whats-app mbn hujaj au kwa vle sio ya ki bongo...
 
Whatsapp hujui imetokana na neno "whatsup?" ambalo ni salamu, it makes sense kuiita whatsapp, pronounciation ileile. Maneno pamojaapp, hadithiapp yametokana na nini?

Ni sawa na Tesla waje na magari yao waanze kuyaita P100DCar, au Tesla Model XCar, tunajua tayari ni gari hakuna aja ya kuongeza hilo neno kwa mbele, utajisikia vizuri leo Vodacom kwenye kila bango lao waanze kujiita VodacomMtandao, TigoMtandao? waste of time.
 
Hata kama lmetokana na hlo neno but still neno (app) lpo haijalish imetokea wp wala nn kwnn wasingeacha likawa ni (whats) au angeweka hyo ups ili ibak kama salam yy akasema aite whatsapp kila mtu anatengeneneza na uamuz wake ww kama hupend iwe na neno app tengeneza yako
 
Unatafuta kila njia kuhalalisha huu ujinga. Zangu nimetengeneza ndio na sijaziita app. Message sent, kama ni moja ya watu mlio na idea zisizo na maana yoyote mziache.
 
Hahahhaha hongera broo ila na ww si ulkua uamuz wako usiweke hlo neno (app) au kuna mtu alkushikia panga
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Whatsapp hujui imetokana na neno "whatsup?" ambalo ni salamu, it makes sense kuiita whatsapp, pronounciation ileile. Maneno pamojaapp, hadithiapp yametokana na nini?

Ni sawa na Tesla waje na magari yao waanze kuyaita P100DCar, au Tesla Model XCar, tunajua tayari ni gari hakuna aja ya kuongeza hilo neno kwa mbele, utajisikia vizuri leo Vodacom kwenye kila bango lao waanze kujiita VodacomMtandao, TigoMtandao? waste of time.
ebana mwanang tesla kibongobongo zitafika kwel
 
Unatafuta kila njia kuhalalisha huu ujinga. Zangu nimetengeneza ndio na sijaziita app. Message sent, kama ni moja ya watu mlio na idea zisizo na maana yoyote mziache.
Mbona jina la kibiashara ni uhuru wa mtu mwenyewe kujua anatakiwa afanyaje boss. Unaweza uiite vyovyote utakavyo. Swali la msingi ni functionality yake iko bomba au ni ya kubabaisha?!
 
Unatafuta kila njia kuhalalisha huu ujinga. Zangu nimetengeneza ndio na sijaziita app. Message sent, kama ni moja ya watu mlio na idea zisizo na maana yoyote mziache.
Za kwako zinaitwaje? Mbona povu linakutoka, siajabu kazi yako ni kukosoa kazi za wenzio.
Wanapoongeza neno App ni vizuri ili irahisishe kutambua kuwa hiyo huduma gani, na ina fit wapi...
 
Hakuna kitu sipendi kama hilo neno "app" ni ushamba unafanywa na wabongo tu.
PamojaApp, PoaApp, HadithiApp, tunajua tayari kua ni application, kwa nini wasiite Pamoja, Poa inatosha kabisa. Ushamba huu mzigo
 
Attachments

  • permoko.png
    permoko.png
    461.7 KB · Views: 79
Back
Top Bottom