Apex. Upo wapi!!!!

Jemsi

Senior Member
Mar 22, 2012
149
19
Man apex 2pia maishu yote ya muccob 2jiandae vipi? Lakini ume win mkopo?
Achia contact yako au fb name yako kwa mapana zaidi,
 
kaka nipooo,kidogo furaha iliniweka nje ya jf,mkopo nimepata saaaafi kabisa,tayar nimepata hostel muccobs nje kidogo kwa sh 300,000,chumba kikubwa sana w2 wanne so kama Jemsi utapenda bas ni pm bro,
 
Vp nimpaka kidaladala man au vipi?na we niwa baaf?
 
cyo mbali ni kama half km ni mguu 2,maeneo ya shule ya sec marie gorieth,abt prgm ni baaf mkuu nilifika chuo nikakutana na masela wa baaf wakisapua so 2jipange.
 
hakuna shida kila kitu ni jitihada tu,sa nitawaclianaje na ww kuhusu huo mpango wa hostel? Hiyo 300000,ni ya 1semista au?
 
300,000 ni kwa mwaka,so unaweza lipa 150,000 bado maisha yanasonga,km vp 2fanye kuchonga private,bt wana muccobs tunawaomba 2julishane kama kuna hostel za karibu zaid ya burreta.
 
poa bro tutafutane(0765963543) wakongwe wa ushirika ninaomba mtupe ushirikiano hasahasa kipindi hiki cha mwanzo,shukran
 
Back
Top Bottom