Apartments threaten hotels in Dar, Nairobi

Mkuu, kuna mwarabu mmoja maarufu sana Dar kwenye hii biashara ya apartments. Apartments zake ni first class na bei ya "studio" ni kama USD 800 kwa mwezi. Ni nzuri mno. Ambapo ungekuwa Hotelini yenye chumba cha hadhi hiyo ungelipa si chini ya USD 3000 kwa mwezi. Makampuni mengi ya kigeni hasa ya ujenzi sasa hivi ndo wanaweka watu wao huko na si Hotelini tena.

Bagamoyo pics 022.jpg

Mkuu si waarabu tu, na wazalendo wengi tu wapo katika hii biashara.
Hii nyumba ipo Mbezi Beach, Jogoo area..
Nyumba inaenda $600 p.m. fully furnished
 
hivi hizi apartment zinatoa huduma kama za mahotelini?
mfano kubadilishiwa mashuka, kusafishiwa chumba, bafu, choo nk kila siku?
aidha idadi ya hoteli zenye gym na bwawa la kuogelea zinaongezeka. kama hizo
apartments hazitoi hizo huduma bora nibanane hoteli.

binafsi nisingependa kufunga safari ya likizo mahali kisha mimi na madam
tunaendelea na mikikimikiki ya nyumbani mfanokuonsha vyombo,
kufua, kupika, kusafisha nyumba nk kama vile bado tuko home.
kwangu mimi hiyo siyo likizo ya kuilipia pesa nyingi. vinginevyo ni bora
nichukue "likizo" niende kijijini ambako nitajumuika na familia/ukoo.

ni mtazamo tu.
 
...hakuna huduma tajwa hapo juu, endelea kula raha za hotelini bro. :)

Apartments nyingi zenye hadhi ya Bronze, Silver au Gold "serviced apartments" unakuta kitchenette & na vyombo vyake, hoover, iron table na pasi yake, washing machine, na dishwashing machine kwenye apartment yako mwenyewe uzitumie.

from-the-bed.jpg
 
Mkuu si waarabu tu, na wazalendo wengi tu wapo katika hii biashara.
Hii nyumba ipo Mbezi Beach, Jogoo area..
Nyumba inaenda $600 p.m. fully furnished

...mkuu, zinaonekana nzuri sana.

Vipi securitywise? unasema zipo Msasani...more info i.e Contacts au kama wana websites? Wengine tunapata wageni wa mara kwa mara wanaopendelea sehemu kama hizi.
 
...hakuna huduma tajwa hapo juu, endelea kula raha za hotelini bro. :)

Apartments nyingi zenye hadhi ya Bronze, Silver au Gold "serviced apartments" unakuta kitchenette & na vyombo vyake, hoover, iron table na pasi yake, washing machine, na dishwashing machine kwenye apartment yako mwenyewe uzitumie.

from-the-bed.jpg

kama mambo yenyewe ni hayo acha niendelee kula raha za hoteli lol
 
...mkuu, zinaonekana nzuri sana.

Vipi securitywise? unasema zipo Msasani...more info i.e Contacts au kama wana websites? Wengine tunapata wageni wa mara kwa mara wanaopendelea sehemu kama hizi.

Swali lako ni muhimu sana Mkuu, kama kuna ulinzi wa kutosha basi sehemu kama hizi ni poa sana ukilinganisha na Hotel.
 
Mkuu Lole,

Hebu tuwekee picha za ndani yaani tupe maelezo kamili ya hizo nyumba........sema pia kuhusu security na mambo kama hayo..........
 
Mkuu Lole,

Hebu tuwekee picha za ndani yaani tupe maelezo kamili ya hizo nyumba........sema pia kuhusu security na mambo kama hayo..........

Wakuu Ogah na Mbu hizi apartmetns ziko Mbezi Jogoo, floor ni timber na granite kitchen tops .Samahani siku weza kujibu in time maana nilikuwa kwa majukumu mikoani.Lakini ukitaka details pls ni PM
 
Wakuu wangu najuwa hii ni old thread ila nimeamua kuifufua naombeni wote mrudi tafadhali, naombeni wekeni apartments nzuri na bei rahisi kwa sasa hivi kwa hapaa dar na ulinzi upo wa kutosha au vipi??Najuwa now imepita mda mrefu sana, wengine huwa wa kusafiri kuja hata 2 months na kuondoka so bora zaid tukijua apartments za bei rahisi ambazo zipo furnished na ulinzi wa kutosha.
Ogah Lole Gwakisa BAK Mbu
 
Last edited by a moderator:

....Dahhh, nahisi kwa sasa zimejaa Dar, pesa yako tu...Anzia hapa,
PropertyFinder.co.tz - Tanzania houses for rent | Property and accommodation classifieds | Listings from LICENSED real estate agents (zamani TZadverts.com) - Find Property - APARTMENTS FOR RENT

hebu mwenye habari kuhusu zile Apartments za Mlimani City amsaidie Papizo...
ila asikudanganye mtu eti ubane matumizi ukafikie LAMADA APARTMENTS,..!
 
Nashukuru sana ndugu yangu na nimepitia hiyo site naona zipo nyingi na za aina tofauti tofauti nzuri sana tu, itabidi sasa nikipata mda nizipitie zote niziangalie vizuri, hivi mkuu Mbu zile za Mlimani City na zenyewe kumbe za mda mfupi??

Nitafurahi n kushukuru kila mtu anayejua akaweka list tofauti ya apartments najuwa wengi watafaidika pia, asante sana mkuu wangu Mbu

Unajuwa sio mda mrefu kuna mtu ametoka kuniambia eti bora Lamada sasa mkuu naona umeitaja Lamada hapo hebu nipe habari papoje hiyo sehemu??
 
Last edited by a moderator:
mmhhhh, for sure apartments in DAR are more costly, unles you wanna stay in the locallly furnitured aparts, where you find only local chairs and not too much modernized as those you can find in the city center or along the coast. Owners should look at all classes, this life wasnt mainly ment for rich people, leave a door for poor to enjoy the worthy and think they are in hevean for short period of time once in their life time.
Mkuu nikiangalia ujumbe halafu nikichanganya na avatar nimecheka sana. Umetishaaaaaaa
 
From Mlimani City village to Mbezi Beach Suburb, Mikocheni to Masaki, the emerging construction of furnished apartments is driving the posh hotels crazy as customers chose to stay in apartments—where they consider reasonable in terms of price, security and privacy.

And so does Nairobi where fancy hotels are feeling the pinch of the growing furnished apartment business buoyed mainly by the growing middle and first class executives as well as business executives.

In Nairobi, modern furnished apartments are the in thing in the multi-billion residential real estate sub-sector. Private developers are fast embracing the constructions, which earn them more monthly returns compared to rental units.

The modern apartments do not only target upmarket areas like Westlands, Riverside Drive, Kileleshwa but a number of them are coming up in middle income areas too, such as along Mombasa Road.

However according to property markets experts, in comparison, Dar es Salaam apartments are still more expensive than in Nairobi where rents are reasonable.

Experts in real estate say the furnished apartments, though expensive at the beginning, are more profitable in the long run.

In Nairobi, a home in an upmarket neighbourhood that would ordinarily rent at $769 per month, for example, fetches $1,500 over the same period, if furnished.

But in Dar es Salaam, the same home would cost $1,200 per month, while if fully furnished it costs about $2,500 for the same period.

The concept of furnished apartments is not only catching on in the Nairobi and Dar es Salaam cities in East Africa but other major towns including Mombasa, Kisumu, Arusha and Mwanza are also setting up low cost furnishing.

The new developments are set to create a showdown in the hospitality industry, as they compete with hotels over clients.

While it costs between $100 and $400 per day to stay in hotels in Dar es Salaam or Nairobi depending on the status of the hotel—an amount that translate into about $700 or $2800 per week.

This amount is what most furnished apartments are charging per month, a situation that create stiff competition to the well established hotels which also have highest cost of operations compared to the apartments.

The growing clientele for the furnished apartments give a number of reasons for their shift from five-star hotels.

Take the case of Natasha Kimani who spent the December holidays with her family at a furnished apartment in Kilimani, Nairobi.

"There is the feeling of family in staying in an apartment where I still prepare meals the way I do in our home in Nyali, Mombasa," Kimani says.

"The apartments are a good break from hotels where the service may be good but with no privacy since meals are served in a common dinning area," Kimani says.

She says playgrounds in the apartments are good for children who make new friends with peers from other families on holiday. "A furnished apartment is just like your own home…it is only different in that you leave the furniture behind for the next guest," Kimani says.

Henry Swan, an Australian tourist says that the low cost has made him book a furnished apartment.

"A tour firm I called from Australia gave me the option of the apartment in Westlands and I resolved to give it a try…No regrets yet," Swan says. He argues that he would otherwise have hired three hotel rooms for his family.

He says tourists and expatriates who want to stay for shorter periods and do not want the hustles of rental units opt for furnished apartments.

"The expatriates do not want the hustles of shopping for furniture that will give them a headache to dispose off after their short stay of say six months," Agili says.

Tysons Limited Marketing Assistant Dan Arum says their clients prefer occupying the apartments for what he terms community living.

"Furnished apartments concept is borrowed from the West where families book them on vacations to maintain their unity," Arum says.

Arum says tourists book the furnished apartments two to three months in advance before high season.

"Some of the apartments are serviced meaning the occupants have helpers who cook and wash for them during their stay," Arum says.

Brooks Estate Agents Limited partner Edwin Tubei says the increasing cost of land has also encouraged private developers to buy old property, pull them down for apartments. More of the high-rise buildings are coming up along Lower Kabete Road where Garden Apartments and Nuriana Park are under construction.

Other such developments in Nairobi are along Brookside Grove, Muguga Green, Chiromo Road, Ring Road Westlands, Matundu Lane, School Lane and Brookside Drive.

According to Tubei, investors must go an extra mile to furnish their apartments to convince clients to part with the high charges.

Additional reporting by Harold Ayodo in Nairobi

SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY

Umetumwa?
 
...Saaafi sana!

Recently nami nimeanza hako katabia ka kufikia kwenye apartments badala ya Hotels.

Protea, Seacliff Village, walikuwa waanzilishi na bado wanatesa na apartments zao ila bei zao mnh...

LAMADA APARTMENTS pale ilala ipo suitable kwa wafanyabiashara, na wenye kipato cha kati, rates zao zina stand almost 60,000/= kwa siku... si mbaya ila tatizo la management ya Kitanzania WAMESHINDWA KU MANAGE wizi wa mara kwa mara unaotokea pale (Vyumbani kwa wateja).

Kwa wale wasafiri wa mara kwa mara ughaibuni i.e ki group cha watu wanne na zaidi, hebu jaribuni kufikia kwenye Apartments muone raha yake. Ni sawa na kuwa nyumbani 'away from' Nyumbani.
Bahati mbaya, unahitajika uwe unakodi kuanzia siku tatu na kuendelea...

Utumwa wa kukaa hotelini sasa basi, ...very boring eti 11am Housekeepers wanakugongea/wanakuamsha ili wakusafishie chumba, au unalazimika ukoge, ujipodoe, na kutinga kiwalo cha maana ili kwenda kupata mlo Restaurant,... Kina sisi Jumapili/ Holidays means long sleep!

Nina wasiwasi na hapo kwenye Blue, unazungumzia hoteli za nyota ngapi? Kumbuka kuna TAG inaitwa DND yaani DO NOT DISTURB hiyo tag ukiweka mlangoni kwa hoteli ya hadhi ya nyota tano huwezi kusumbuliwa mpaka pale yatakapopita masaa nane kuanzia asubuhi ndipo atakapopigiwa simu kuulizwa kama anahitaji huduma ya kusafishiwa chumba au la na si kugongewa tu kiholela.
Nadhani apartment zitakuwa ni tishio kwa hoteli za hadhi ya nyota 2 na 3 lakini si kwa hadhi ya nyota 4 na 5.
 
Asante mkuu. Nilikutana na mfanyakazi wao mmoja (wa Huyu Mwarabu wa hizi aparments) analalamikia Wachina. Anasema apartment inayokaliwa na Wachina wakiondoka inabidi wabadilishe karibu kila kitu. Zikiwemo furniture na vyombo vya jikoni mpaka vyoo. Vyoo huwa vimeota ukurutu, majiko (cookers) unakuta yamegandiana uchafu na magodoro huyachakaa haraka mno sijui kwanini. Walikuwa na mpango kuwatoza Wachina bei kubwa zaidi kufidia hizo gharama. Kwa ujumla Wachina ni wachafu sana.

Umenena mkuu, wachina hawa waliochoka ni wachafu na wakitoka sehem imechakaa na kunuka kama jalala!
 
Nina wasiwasi na hapo kwenye Blue, unazungumzia hoteli za nyota ngapi? Kumbuka kuna TAG inaitwa DND yaani DO NOT DISTURB hiyo tag ukiweka mlangoni kwa hoteli ya hadhi ya nyota tano huwezi kusumbuliwa mpaka pale yatakapopita masaa nane kuanzia asubuhi ndipo atakapopigiwa simu kuulizwa kama anahitaji huduma ya kusafishiwa chumba au la na si kugongewa tu kiholela.
Nadhani apartment zitakuwa ni tishio kwa hoteli za hadhi ya nyota 2 na 3 lakini si kwa hadhi ya nyota 4 na 5.

.....hivi kuna hoteli ya nyota tano Dar-es Salaam au Zanzibar?
najua mawazoni mnaweza kuja na majina ya Hyatt-Kilimanjaro, au Melia Zanzibar....
 
Nashukuru sana ndugu yangu na nimepitia hiyo site naona zipo nyingi na za aina tofauti tofauti nzuri sana tu, itabidi sasa nikipata mda nizipitie zote niziangalie vizuri, hivi mkuu Mbu zile za Mlimani City na zenyewe kumbe za mda mfupi??

Nitafurahi n kushukuru kila mtu anayejua akaweka list tofauti ya apartments najuwa wengi watafaidika pia, asante sana mkuu wangu Mbu

Unajuwa sio mda mrefu kuna mtu ametoka kuniambia eti bora Lamada sasa mkuu naona umeitaja Lamada hapo hebu nipe habari papoje hiyo sehemu??

....Jamaa/management ya Lamada hawapo serious kabisa na Accomodation aisee,...
wao wanachojali ni kukodisha ukumbi na viwanja vile kwa mashughuli!

ndio kusema shida utayokumbana nayo ni kelele za muziki (kuna wakati unakuta functions hata nne around, utadhani mpo Fete au saba saba vile!), shida ya parking, nk....

Mbaya kuliko yote, Mende, uchakavu wa milango, makabati, masinki na vyoo ....pia ni tatizo lililofumbiwa macho na utawala.
Wasanii wa Bongo Movie bado wanaweka kambi pale, na kuna wakati ma miss Tanzania na hata team ya Simba walikuwa wanaweka kambi pale...you can Imagine 'nje ya boksi'...

Niliwahi kukodi apartment pale 2009, ....nikaja gundua kuna baadhi ya vitu vyangu vimebiwa. Malalamiko yangu yaligonga mwamba kwani Uongozi walinionyesha bango "Utawala hauhusiki na Upotevu wa Mali Vyumbani"....ndio kusema unapotoka, chukua begi lako la nguo na kila kitu chako, maana vitu vya thamani sio lazima iwe (mfano) Camera, Perfumes, na Laptop pekee...
 
Habri mkuu, kwanza kabisaaa nashukuru sana kwa kuweza kufunguka zaidi maana nilikuwa bado sijajua hasaa tatizo la hapo sasa hizo si itakuwa karaha tu mtu unaenda mhali inabidi upumzike aisee na kuwa free, na sio kelele tena, na upande wa mali vyumbani ina maana na wenyewe wanakuwa na funguo wako wa chummbani??Kama yes why wahusika wanasema kwamba wenyewe hawahusiki na upotevu wa mali zako chumbani??Kama ni hivyo basi wasiingie chumbani kama vipi simple and clear,

Hapo moja kwa moja nimeona hapafai nadhani usalama wa vitu ni muhimu sana tena sanaaa kulikoo kitu kingine maana mtu unaweza kuondoka then ukawaza kuna mizigo umeacha unaweza kuibiwaa na usafi vile vile wa muhimu sana

Nashukuru mkuu wangu kwa kunifungua aisee nitaangalia sehemu zingine tu hapo hapafai kumbe,wenyewe wanaangalia tu kutengeneza hela ina maana na sisi tunaolipia upande wa apartments tunakuuwa tunakaa bure au??

Mkuu kwa maelezo yako tu nashukuru sana umenifungua kuliko ningeenda kichwa kichwa asante saa na siendi tena hapo
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nina wasiwasi na hapo kwenye Blue, unazungumzia hoteli za nyota ngapi? Kumbuka kuna TAG inaitwa DND yaani DO NOT DISTURB hiyo tag ukiweka mlangoni kwa hoteli ya hadhi ya nyota tano huwezi kusumbuliwa mpaka pale yatakapopita masaa nane kuanzia asubuhi ndipo atakapopigiwa simu kuulizwa kama anahitaji huduma ya kusafishiwa chumba au la na si kugongewa tu kiholela.
Nadhani apartment zitakuwa ni tishio kwa hoteli za hadhi ya nyota 2 na 3 lakini si kwa hadhi ya nyota 4 na 5.
Hata ukiweka DO NOT DISTURB tag haisaidii sana manake hizo movemnts na commotions zinazoendelea along the hall way ni kero tupu na utaamka tu.
Nimelala sana 4 and 5 star hotels nyingi kila kona ya dunia hii na bado ni kero tu unless upate suite. South America katika nchi kama za Costa Rica, Panama au Colombia angalau cleaners wanaanza kuja late around noon. Ila US ni worse, sababu 7 am utawasikia kwenye hall way
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom