Apartment: NAIROBI vs DAR

wimbi la mbele

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
647
266
Kwa nini nairobi unapata apartments za kupanga tena nzuri na fully furnished hata kwa monthly basis na chini ya dola 500 wakati Dar hawataki kodi unless iwe ya mwaka na apartment ya kawaida ni kiasi cha dola 2000halafu unatukanwa pia. Ukitaka kulipa kwa mwezi unaweza kuambiwa ulipe dola 1000 zaidi

hivi ni kwa nini? au wenye nyumbawajeuri tuu?
 
Greedy + Demand/ supply. Unajua katika eneo ambalo serikali yetu imezembea ni kukusanya kodi za nyumba. Kilichotakiwa kufanyika mfano Dar ni kuboresha miundo mbinu nje ya jiji na kutengeneza proper access to the city na other satelite cities.
 
Back
Top Bottom