apaa apaaaaa paa hodiiiiiiiiiiiiiiii + nakuomba msamaha PAW

prakata

Member
Nov 1, 2011
10
0
jamani mimi prakatatumba nimeingia kwa I.D nyingine baada ya kupigwa ban mpaka 29 October 2013 kwa kosa la kumtukana moderator PAW mara baada ya PAW kuifuta thread iliyotumwa na mmoja wa member humu JF ingawa neno nililoliyumia nilimuita member mwngne humu ndani ila sikupigwa BAN, hayo tuyaache ningependa kumuomba moderator msamaha na kuomba kufutiwa adhabu na vikwazo vyote.
 
Mkuu msamahaa wako ungekuwa mzuri kama unge-PM then ukamuambia ukinisamehe ziunganishe IDs zangu..
Kuliko kufungua thread, ni ushauri tu mkuu. Karibu sana
 
Kaja kiungwana na kuomba msamaha, msameheni, binaadam huwa tunakosa na tunapoomba msamaha hutegemea kusamehewa.
 
Mkuu msamahaa wako ungekuwa mzuri kama unge-PM then ukamuambia ukinisamehe ziunganishe IDs zangu..
Kuliko kufungua thread, ni ushauri tu mkuu. Karibu sana
ahsante kwa mawazo ngoja ni mPM, akiziunganisha ndiyo inakuaje??
 
jamani mimi prakatatumba nimeingia kwa I.D nyingine baada ya kupigwa ban mpaka 29 October 2013 kwa kosa la kumtukana moderator PAW mara baada ya PAW kuifuta thread iliyotumwa na mmoja wa member humu JF ingawa neno nililoliyumia nilimuita member mwngne humu ndani ila sikupigwa BAN, hayo tuyaache ningependa kumuomba moderator msamaha na kuomba kufutiwa adhabu na vikwazo vyote.
Yamekuwa hayo tena!!?
 
Nadhani hujatenda ipasavyo, inakuwaje uombe msamaha wa kosa kwa kufanya kosa lingine? Dalili zinaonesha ww ni bingwa la kukosea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom