Hapo kuna ndoa kweli?

mrsfulani

Senior Member
Oct 19, 2015
113
68
Habari wakuu poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa.

Mimi ni binti miaka 26 nina mume coz nimeishi nae zaidi ya miaka miaka3 na mahali ametoa na pande zote mbili wanafahamu ilo
Tatizo ni kuwa kila siku napoteza wivu kwa mume wangu yani ule wivu wa mwanzoni haupo tena nilihisi ni kipindi tu kile cha mimba na kero zake za kurudi alfjir mara kachepuka ila hata akijirekebesha bado namuona kawaida sana imefkia hatua hata arudi nyumbani kalewa kesho yake nina kuwa na amani kabisa wala sipigi simu kumuuliza chochote yani tupo kawaida tu sina muda wa kugombana nae wala kujibishana nae tena kuhusu makosa yake nimebaki kumuangalia tu yani nafanya majukumu yangu kama mke kwake lakini wivu wala wasiwasi sina tena na sio kama namchepuko sina wala sijawahi kumsalit tangu niwe nae.

Nisiwachoshe jaman . iv ni kawaida katika mapenzi hiyo hali ipo kadri siku zinavyozidi kwenda au visa vya mwanaume vinafanya mtu uchoke ubaki una muaglia tu alafu mwisho wake nini apo si ndoa inakufa au natakiwa nifanyaje labda kuna sehemu nakosea msaada wakuu matusi hayafai sio lazima ucoment
 
Una ndoa ya kufungishwa msikitini/kanisani...au alitoa mahari mkasogezana????.

Utapataje wivu wakati mune kakuumiza kwa kuchepuka na ulevi?
Matokeo yake moyo wako unechoka...umejitengenezea cover kujilinda na akili yako imeamua udili na yako...

Na yes...visa huchosha.... na mumeo sijui kama anajua kuwa anatembelea uzi mwembamba...
 
Habari wakuu polen na majukum ya ujenz wa Taifa.

Mimi ni bint miaka 26 nina mume coz nimeish nae zaid ya miaka mi3 na mahali ametoa na pande zote mbili wanafahamu ilo
Tatizo ni kuwa kila siku napoteza wivu kwa mume wangu yan ule wivu wa mwanzoni haupo tena nilihis ni kipindi tu kile cha mimba na kero zake za kurudi alfjir mara kachepuka ila hata akijirekebesha bado namuona kawaida sana imefkia hatua hata arud nyumbn kalewa kesho yake nina kuwa na amani kbs wala sipigi cm kumuuliza chochote yan tupo kawaida tu sina muda wa kugombana nae wala kujibishana nae tena kuhus makosa yake nimebaki kumuangalia tu yan nafanya majukum yang km mke kwake lkn wivu wala wasiwasi sina tena na sio km namchepuko sina wala sijawah kumsalit tangu niwe nae.

Nisiwachoshe jaman .. iv ni kawaida katk mapenzi hiyo hali ipo kadri siku zinavyzid kwenda au visa vya mwanaume vinafanya mtu uchoke ubaki una muaglia tu alf mwisho wake nini apo si ndoa inakufa au natakiwa nifanyaje labda kuna sehm nakosea..msaada wakuu matusi hayafai sio lazm ucoment

WEKA PICHA MKUU.
 
Ila nakushauri usije kwenda kwa KARUMANZIRA ujue hatokuacha urudi tena kwa mwanaume wako.
 
Kisaikolojia umekata tamaa, usijidanganye moyo wako, au huna jinsi maana umesabmit maisha yako hapo and no more au una alternative ambayo bado immature, unaugulia moyoni na moyo unauumiza...
 
Pole sana.

Tabia yake huyo.

Na kwa mwenendo huo Ndoa yenu ina hati hati ya kutodumu kuanzia hivi sasa
 
Kisaikolojia umekata tamaa, usijidanganye moyo wako, au huna jinsi maana umesabmit maisha yako hapo and no more au una alternative ambayo bado immature, unaugulia moyoni na moyo unauumiza...
 
Mwache alewe siku akileta gono utajifunza ulinzi, mme/mke analindwa wala sio wivu dunia yetu ya magonjwa ask him why this and why that
 
Duuuhh, pole sana kwa unayopitia.

Njia uliyochagua nini njia sahihi. Huyo mumeo yupo kwenye wakati mgumu sana sababu anaona umempuuza. Kama sio kesho basi mbeleni atakuomba msamaha kwa ujinga anaokufanyia.
 
Kuna mkuu naungana naye hapo kwny hii hoja kuwa angalia moyo wko ikiwa unafanya hvyo na bado unafeeling naye na kuwa happy bac haina madhara coz unajiepusha na stress nyng!!japo ucsahau kumkumbusha hsa hpo kwny michepuko coz kunamagonjwa my!!!
 
Back
Top Bottom