Anzisha Radio kwa Tshs 10,000,000/= usikivu ni KM 45.

Wadau,

Offer kuuuuubwa! Tunashawishi mtu anayetaka kufanya biashara ya radio TUNDUMA kuna soko kubwa sana.

Gharama
Vifaa vya studioni Milion 3 (Vitanunuliwa katika maduka ya Tanzania)
Transmitter Watts 300 Milion 7 pamoja na Antena set.

Usajiri TCRA Tshs milion 3.

Utengenezaji studio pamoja na uaandaaji wa feseability study Tshs milion 3.

Daily Management
Unatuachia sisi tunaisimamia nawewe utakuwa ukipewa faida yako kila mwezi.

Jumla pesa yote ni Tshs 16,000,000/=

Karibu tuwasiliane
Radio Consult Company Limited

Email: consultancy@radiotz.com

Mkuu hujaweka Gharama kama Umeme, Mlinzi, Gharama za kupata ardhi kujenga Mitambo. n.k. Gharama za Studio Milioni Tatu? (Computers, Mixer, Microphones, UPS, Generator, Umeme) kwa studio On air studio, production studio, news room n.k?

Yaani yote hayo kwa 16M?

Duh
 
Du Frequency zishajaa kwa hapa dsm labda mikoani...nakumbuka hata abdallah majura kapewa frequency ya dodoma na zimbabwe tu khaa am sole am glade ni unguja and not zimbabwe.
 
Du Frequency zishajaa kwa hapa dsm labda mikoani...nakumbuka hata abdallah majura kapewa frequency ya dodoma na zimbabwe tu khaa am sole am glade ni unguja and not zimbabwe.

Umeiona lakini package yetu ee? Mikoa ni mingi sana unaweza kuanzisha baadhi ya mikoa ikakulipa, usihofu.

Asante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom