Any other swahili word for infidelity?

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
Nauliza wakuu je, lipo neno tofauti la kiswahili la infidelity kwa kuwa katika google translate nimepata kuwa ni ukafiri ila sijaelewa nitafafanua vipi ukafiri kuwa infidelity.naomba mnijuze.
 
Ni uasherati.
Usitegemee google translation ndugu. Huko utapotea.
 
hivi tofauti ya uzinzi na uasherati ni nini?
suala la nyongeza: when u ar cheating on a cheater, is it infidelity?
 
IMO.... Uzinzi ni ile hali ya kuwa ndoani kisha kufanya mapenzi na mtu asiye mkeo/mmeo.

Uasherati ni kufanya mapenzi kabla ya kufunga ndoa....

Wabheja mwanawane King'asti
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom