Any job i apreciate it

Tanui hillary

Member
Jul 16, 2011
7
0
Am,kenyan nilimaliza kidato cha nne mwaka jana na sina hela za kujiendeleza kwa sasa naomba kama kuna kazi yeyote thafathali napatikana
 
yes any job so long as inaweza kunizaidia coz sijakamilisha masomo zangu ata kama ni nchii za nche ni zawa coz mie niko kenya na wewe uko wapi?
Rudi umaliza shule kwanza. Ushauri wa bure: chagua lugha moja kati ya Kiingereza na Kiswahili. Halafu jifunze na kuijua kwa ufasaha. Kwa ujuzi wako huo wa kuchang'anya lugha mbili ambazo hata hivyo hakuna hata moja unayoimudu siwezi kukupa kazi hata ya kufagia nyumbani kwangu.
 
Back
Top Bottom