Any guy here ever used Viagra?

duh nimeshaona watu kama watatu wamedanja sababu ya kiagra . akiwemo MC mmoja mashuhuri sana.... kuweni waangalifu sana tena kama mnamagonjwa ya moyo.
 
Jana nilitumia jamani ila nimesahau jina lake, subiri nimpigie shemeji yenu maana ndio kaniletea jana
 
i don't get the pun.
Hahahahaha? really? you are slow bwana!
Kumbuka what GOLD MEMBER meant in Austin power...

Austin%20Powers%20Goldmember%20(2).jpg
 
Au dawa ya aina yoyote ya kuongeza nguvu za kiume au kuchelewa kufika kileleni?

Kuna spray inapulizwa kwenye kichwa ambayo inasababisha kuchelewa kufika kileleni nimewahi tumia na inasaidia

sana.....Je ww umetumia nini na umefaidikaje?? Tuelimishane

View attachment 65508

konyagi,before sex
 
KWA USHAURI WANGU:
Fanya mazoezi ya tumbo, mazoezi ya kukimbia na io ya kunyanyua vyuma kama sisi! pia pata muda mzuri wa kupumzika mchana, kula vyakula vya protini zaidi, kama viini vya mayai ya kuku wa kienyeji, juice ya tende iliyochanganywa na maziwa ya ngamia na asali (hii juice ipo pale ilala opposite bank ya posta, glass 1000/-)

Kama unatumia Mirungi acha! pombe usinywe saana, kunywa kiasi kidogo na sio beer, vodka na whisky saafi sana.

Sigara pia ni chanzo kingine, punguza au acha!

Chagua mpenzi anaeendana na hisia zako!! kama unapenda mnene basi make sure ndo uko nae! hii pia ni sababu ya wapenzi kuwa tuu na atakaempata! make choice1 maintain ur choice bana!

pia soma makala ya mapenzi ktk mtandao!

Dawa ni suluhu ya mda mfupi na ina madhara! ukianza madawa, mpaka unaingia kaburini utakuwa mtumwa wa madawa tuu!

but mazoezi ni bora kwani ni zaidi ya tiba kwa nguvu za kiume!

Nawakilisha!!

Au dawa ya aina yoyote ya kuongeza nguvu za kiume au kuchelewa kufika kileleni?

Kuna spray inapulizwa kwenye kichwa ambayo inasababisha kuchelewa kufika kileleni nimewahi tumia na inasaidia

sana.....Je ww umetumia nini na umefaidikaje?? Tuelimishane

View attachment 65508
 
I have used cialis..

"How does Cialis work?"

Cialis works by blocking PDE5, the chemical that reverses an erection. When this chemical is blocked, the arteries in the penis are able to open wider so that more blood can flow into the penis. Cialis can start working in as little as 30 minutes, and can work up to 36 hours from the time you take your dose. Because Cialis has no effect on the chemicals that cause an erection (it simply keeps them in the penis longer), it does not work without stimulation

Hii kitu nimeipenda inapatikana wapi hapa Dar?
 
Boflo huachi vituko ubunifu wakibonzo unafaa huyo jamaa akitoa miwani ataona hiyo kitu hata hitaji kuimbiwa nyimbo tena!!!
 
mara moja moja unajilipua tu...kitu dawa ya mama yeyo ni noma...afu ni long term wakuu...karibuni kitu cha-arusha....
 
Back
Top Bottom