Anusurika Kufa akinajisi kitoweo!

Mpigaji

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
384
42
Mkazi mmoja wa kijiji cha Mwamalasa wilayani Kishapu,juzi alinusurika kufa baada ya kupokea kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa wananchi wenye hasira waliomkuta akimwingilia kimwili Mbuzi wa jirani yake.PATA MKASA KAMILI HAPA
 
Dah; K sikuizi hadi mia mbili unapata. wanaharakati wa haki za wanyama inabidi wamshugulikie, aswekwe gereza la mashababi wamkune.
 
Back
Top Bottom