Alexism
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 3,423
- 2,045
Antonio Guiterres (67) kutoka nchini Ureno kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Huyu jamaa naona kuwa anafaa sana wakati huu. Ataweza kuifanya UN kurudi kwenye mstari na kuwa visible tena.
Waliokuwa wanabisha kuwa Jakaya Kikwete ndio next UNGS hata baada ya kupewa somo mkabisha sasa nadhani mtakuwa waelewa.
=========================
Waliokuwa wanabisha kuwa Jakaya Kikwete ndio next UNGS hata baada ya kupewa somo mkabisha sasa nadhani mtakuwa waelewa.
=========================
Anaitwa António Guterres ni raia wa Ureno na alishawahi kuwa Mkuu wa UNHCR amependekezwa na Tume ya usalama ya UN kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anategemewa kuidhinishwa muda siyo mrefu, atamrithi Mkorea Kusini Ban Ki Moon ambaye amemaliza muda wake!!