antivirus ya kudownload(free download) ína ubora kama ile ya kununua na kuinstall

frozen

Senior Member
Aug 12, 2010
135
32
Wadau nímenunua laptop mpya kama miezi miwili iliyopita,laptop ilikuja na antivirus ya Norton,sasa wananiambia kwamba antivirus yangu imekwisha na naitaji ku renew doller 84 kwa hiyo package,..siwezi afford hiyo gharama,.,Napenda kujua kama naweza ku download free Norton Antivirus na ikafanya kazi sawa kwa ubora km ile iliyoisha mda wake??
 
  • Thanks
Reactions: 1px
ubora ni ule ule ila mara nyingi hizi za free uwa zina limited features, uwa unakuta baadhi ya features wamezilock au inakuwa itumike baada ya 30days, mara nyingi hizi za free uwa ni kwa ajili ya kumshawishi mteja anunue full package, ndo maana zinaitwa trial
 
ukitaka tofauti na norton ipo avira na avast ni free for life sio trial

Tofauti kati ya ant virus za bure na za kulipia ni moja. Ant virus ya bure haidaki virusi hadi viingie kwa pc wakati ya kulipia inavifata huko vilipo.

Mfano kwenye internet ant virus ya bure haidaki mpaka kirusi aingie kwenye computer wakati ya kulipia itascan huko huko kwenye net na itakukataza usidownload

kwenye mafile yalofungwa mfano rar, zip, 7z, tar.gz ant virus ya bure haitaona virusi hadi uliextract wakati ya kulipia yavidaka huko huko ndani.
 
Mia.!
Hilo na mimi lishawahi kunitokea kwa NORTON.
 
Nakushauri ni bora kununua anti virus for security ya data zako. Otherwise utapoteza data kwa virus. Unaweza kupata antivirus kwa bei rahisi tu madukani
 
usikubali kununua anti-virus
halafu kama pc yako ni kwa personal use tu, hakuna sababu ya kuwa na antivirus. antivirus zina slow down pc, aah kwanza mi situmii
 
naunavyo nunua antivirus angalia ile iliyoandikwa internet security e.g. Kaspersky internet security, maana watu huwa wananunua tu ile ya kawaida ambayo huwa ina provide basic protection ambazo unaweza zipata hata kwenye free antivirus.
 
usikubali kununua anti-virus
halafu kama pc yako ni kwa personal use tu, hakuna sababu ya kuwa na antivirus. antivirus zina slow down pc, aah kwanza mi situmii

Sio ushauri mzuri. Kama unatumia operating system tofauti na windows poa, but kwa watumiaji wa windows ni vyema kuwa na anti virus
 
Antivirus gn ninzuri kwenye kuzuia virus wakati una surf na kulinda ma file (full protection) ? Package ya mwaka naweza kupata kwa kiasi gani na sehemu gani mjini naweza enda nunua?
 
Antivirus gn ninzuri kwenye kuzuia virus wakati una surf na kulinda ma file (full protection) ? Package ya mwaka naweza kupata kwa kiasi gani na sehemu gani mjini naweza enda nunua?

Generally kaspersky ni wazuri ila kitu kimoja nlichogundua kwa hawa jamaa ni kwamba wakitoa version zao zinakua compatible na computer za kizazi hicho.

Hapa namaanisha kama una computer ya kizamani ram na processor ndogo computer yako itakua slow sana. Kama una computer nzuri yenye specification za kisasa ni bora ukatumia hii.

Kama computer yako ya kale kidogo tumia avast, avira au macafee.

Bei za antvirus kwa mwaka mara nyingi ni elf 20 hadi 30 kwa matumizi ya mtu mmoja na elf 50 kwa matumizi ya computer 3
 
mimi laptop yangu ni ya sasa,portable dell N4010,OS 64 bit,ram 4gb,hd500,,nilikuwa natumia karspesky nilichogundua ukiwa una full scan inakua slow sana kilicho ni boa ni kila baada ya siku 2-3 una update.Nimerudi kwenye microsoft security essential iko poa kabisa na ni free download toka kwenye web ya microsoft.
 
Tumia Avast v6 au v7...Ni nzuri sana coz ina feature inayoitwa 'Sandboxie' ambayo inakuwezesha kurun file lolote (lenye virus/Lisilo na virus) na virus kubaki nyuma i.e Ni kama filter.
Hizo nyingine zikidetect file lenye suspicious behaviour zinaquarantine. Tena kama kaspersky inaslow sana system.
Nimewabadilishia wa2 wengi antivirus (waliokuwa wana2mia Kaspersky) na wote walisema pc zao zilikuwa slow sana but faster nilipowawekea avast.
 
Sio ushauri mzuri. Kama unatumia operating system tofauti na windows poa, but kwa watumiaji wa windows ni vyema kuwa na anti virus
For sure mkuu, mi sifungi kabisa antivirus na ikiwa nitahitaji kufanya hivyo, basi nitatumia microsoft security essential au avast, lakini mse ndo zaidi ila inapobidi tu. kwangu firewall ndo mhimu kuliko chochote
 
Ni PM email yako nikupe free trial Norton 360 ya siku 90!
Wadau nímenunua laptop mpya kama miezi miwili iliyopita,laptop ilikuja na antivirus ya Norton,sasa wananiambia kwamba antivirus yangu imekwisha na naitaji ku renew doller 84 kwa hiyo package,..siwezi afford hiyo gharama,.,Napenda kujua kama naweza ku download free Norton Antivirus na ikafanya kazi sawa kwa ubora km ile iliyoisha mda wake??
 
Kwangu naona Anti virus zinafanya laptop iwe slow sana, nina miaka na miaka now natumia microsoft security essential hiii ndio kila kitu inafanya kazi vizuri sana tena sana na nipo happy kwa kuitumia hii kwa kweli na ni free kabisa....
 
Kula Dala mkuu!!!
 
Back
Top Bottom