Antivirus wadhihirisha hiphop haijafa jijini mbeya

Rollo

New Member
Dec 23, 2011
1
0
Jana VINEGA wa Antivirus wakiongozwa na kinega mwandamizi SUGU (joseph wa sae),walidhihirisha kuwa hiphop bado ipo juu na haiwezi kufa kama baadhi ya wadau wanavyodai,Vinega waliingia uwanja wa sokoine saa moja jioni na walianza MAPACHA,DAN MSIMAMO,BOO NAko,HARDMARD,SISTA P,ISANGA FAMILY,ADILI,SALU T,MABAGA FRESH,SOGGY DOGGY ANTER, na wa mwisho alikuwa Sugu ambaye alipanda stage saa 3;28 usiku mpaka saa 4;15 usiku.Wasanii wengi walitumia beats wala si playback,watu waliparty mpaka basi na shangwe ilikuwa kubwa sana.HIPHOP mpango mzima.
 
pamoja sana lazima watapata tu mafanikio na wabana pua wazee wa kupaishwa redio nao wataelimika tu siku moja..

ingawa kuelimisha miswahili ilikata tamaa ni kazi watafanikiwa tu siku moja hala sugu mkoloni peenlawyer adili na wengine wote kwa kuwa pamoja nasi...

***with no apology***
 
siku rais naye itambidi aimbe hip hop ili akubalike na wananchi.kwa staili hii 2nayoendanayo!!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom