Antivirus bomba kuliko zote

Iyokopokomayoko

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
1,785
441
WAKUU, nimekubaliana nanyi kuwa google chrome ndo browser nzuri kuliko zote, mnasemaje sasa kwa upande wa antivirus?
 
motochini antivirus kuzinduliwa 26/11/2011 ustawi wa jamii, please dont miss
 
Naona kila mtu anavutia kwake na kwa anti-virus aliyoizoea.Ushauri wa Bure; free-downloadable anti-virus nyingi zinaweza ku-crash computer yako kwa wakati usiotarajia. Pia kuhamisha data kwa kutumia flash disks kwaweza kukugharimu. Jinyime kidogo ununue licensed anti-virus yako mwenyewe! Mie natumia Kaspersky na iko poooooa!
 
kwanza nawashukuru wote waliopoteza muda wao kunisaidia, tofauti na nilivyotegemea ni kuwa mi muda mwingi natumia avast free antivirus lakini kama ulivyosema mkuu hapa ni kuwa kuna wakati kompyuta inajizima tu lakini nikiiscan hakun virusi hata hivyo hili limeanza kunitokea tangu nilipobadilisha window, kabla nilikuwa natumia vienna na kompyuta yangu haikuwahi kujizima hata mara moja lakini tangu nianze kutumia windows xp 2006 advanced security and drivers computer mara kadhaa ina-crash na kujizima bila sababu yeyote, sasa nashindwa kuelewa kama inaweza kuwa ni antivirus au ni windows, nitashukuru kwa maelezo yenu zaidi.
 
Use your intel capacity to sort out the right one for you mkuu,choose nod32 smart security.
 
microsoft security essentials ndio nzuri kuliko zote,simple, haifanyi kompyuta kuwa nzito like kaspersky,imetengenezwa na microsoft company,haifanyi exaggeration kama zingine .kila kitu ni virus,try it.
 
WAKUU, nimekubaliana nanyi kuwa google chrome ndo browser nzuri kuliko zote, mnasemaje sasa kwa upande wa antivirus?
Kiboko ya web browser ni mozillafirefox, kama unatak computer ilindwe na Virus ,Trojan, na Worm basi mimi ninakushauri tumia anti-virus inayoitwa Avira anti-vir Avira Anti-Vir Personal Free Avira Free Antivirus - Free software downloads and software reviews - CNET Download.com

hii Avira Anti-Vir ni kiboko kuliko hizo zote Walzosema wenzangu hebu anagalia hapa chini

Why Avira Anti-Virus Better Protection Than Avast,Avg,NOD32 Anti-Virus,Kaspersky and Norton? Press This Link Virus Bulletin : News - AV-Test release latest results
 
Hiyo ni marketing tu kama ilivyo kwa bidhaa nyingine. Kizuri chajiuza sio kujitembeza.....
 
PANDA CLOUD ipo poa 2 jaribu kwani hii haihitaji updation yoyote ila inapokuwa kwenye inetrnet ndo inakuwa very active than maelezo mzee.
 
Hiyo ni marketing tu kama ilivyo kwa bidhaa nyingine. Kizuri chajiuza sio kujitembeza.....
Nakubaliana nawe mkuu, miaka yote nimetumia mozillar lakini wiki hii moja ya google chrome niliyofunga baada ya kusoma hapa jf nakubaliana kabisa chrome ni noma, nitatoa msimamo tena baada ya mwezi mmoja, kuhusu avira inawezekana bali najaribu kwanza msc then nitatofautisha na avast kisha nitajaribu avira baadaye sana. thanks to all
 
Kiboko ya web browser ni mozillafirefox, kama unatak computer ilindwe na Virus ,Trojan, na Worm basi mimi ninakushauri tumia anti-virus inayoitwa Avira anti-vir Avira Anti-Vir Personal Free Avira Free Antivirus - Free software downloads and software reviews - CNET Download.com

hii Avira Anti-Vir ni kiboko kuliko hizo zote Walzosema wenzangu hebu anagalia hapa chini

Why Avira Anti-Virus Better Protection Than Avast,Avg,NOD32 Anti-Virus,Kaspersky and Norton? Press This Link Virus Bulletin : News - AV-Test release latest results

Hiyo ndiyo ya ovyo kuliko yoyote...angalia hapa

Avira.jpg
 
Attachments

  • Avira.png
    Avira.png
    55.3 KB · Views: 34
Back
Top Bottom