Anti-rape female condom on market

Hadithi mpya ya "PENZI LA CLARA" imeanza..!.. angalia kwenye Jukwaa la Mapenzi na Mahusiano! - Search Facebook "mimi mwanakijiji"
Bado nasubiria hata mwakani:A S-rose::A S-rose::A S-rose:
 
Sighing
Ni bora hata ya wanyama....maana binadamu wamekuwa ni dhalili zaidi.

Dada/mama..kwa nini u provoke kwa unusu au u robo tatu uchi?Kaka/baba ..kwa nini uangalie sana hadi uwe taabani.?Walio oa ..ukitamanishwa nje rudi kwa mkeo faster.....huyo uliomuona nje ,anacho kile kile ambacho mkeo anacho..ni physical temptations tu zinazosumbua,but at the end of the day pleasure ni ile ile tu.

Kwa wasioa....jishughulisheni sana katika shughuli za maendeleo,epuka peer groups mbaya,fanya mazoezi,ukiweza.. punguza kula kupita kiasi(au funga katika baadhi ya siku za wiki kwa wale wanaoamini) ili kupunguza shah'wa(matamanio)

I'm afraid...the rapists wakijua hii janja ,the first approach itakuwa ni kunyofoa hiyo "disgusting" condom
 
tunarudi kule kule kwenye tego ila hii ni ya kisayansi zaidi maana lile tego la kichawi mtu mnanasiana mpaka mwenyewe aje kukutia kidole
 
Sasa itakuwaje kama mume naye akajikuta "anakamatwa" kwa sababu shemeji kasahau kuiondoa?

1.Hii kitu ilivyo.. ukiivaa inakera hivyo MKJJ huyu shemeji hawezi kusahau kuivua.
2. Naona huyu Dr Kakiboresha na kukiwekea "meno ya kuuma zaidi "baada ya kile cha kwanza kuwa na mapungufu! Hiki kifaa kilizua gumzo sana 2006 mara ya kwanza alipoki unveil huko South Africa:

A controversial anti-rape device that actually "bites" the would-be-rapist's penis, was launched in South Africa, the world notorious 'rape-capital'. The patented device is worn like a tampon, but consists of a hollow tube which attaches itself via a series of tiny hooks to a man's weapon during penetration. Sonette Ehlers, inventor of the device, told reporters that the design was inspired after meeting a rape survivor 20 years ago who told her that she wished she had teeth "where it mattered".


Apparently, the device works by folding itself around the rapist's "weapon", and attaching itself to the skin with microscopic hooks. As the rapist attempts to withdraw the device "bites" deeper into his skin making it impossible to remove without medical help.

"We have to do something to protect ourselves. While this will not prevent rape it will assist in identifying attackers and securing convictions," she told reporters this week. (Yes, we have to agree with that. Identification should be easy. The attacker will most likely be the guy still lying on top of his victim, while bleeding profusely from the genitals!)

"It will be available at supermarkets, chemists, anywhere where one would be able to buy tampons," she says.


3. Hiki kifaa kimekuja muda muafaka..laiti kingefika TZ maana kasi ya rape nayo inaongezeka.Tusije tukajikuta tunafikia SA ambapo statistics zinatisha!
Kwa mwaka 2006 ambapo Dr Ehler alikitoa hicho kifaa kwa mara ya kwanza.. watu walikiponda kwa vile kilikuwa na a couple of potential flaws katika design . Soma hapa chini:
Firstly, the teeth only start to bite after the rapist attempts to withdraw - which is a bit like closing the stable door after the horse has already bolted.

Secondly, the woman will then be physically attached to her violent and increasingly angry attacker. (One can only image the conversation the poor woman would have to engage in as she explains the situation to her potential future murderer!)

And thirdly, the poor woman would have to wear at least two of these devices at a time if she is to be fully protected.

So for any of you women out there who wish to protect yourself before, (rather than after), any attack has occurred, we suggest purchasing one of the chastity belts.

Asante MKJJ kwa kutuletea updates!
 
Kondomu Zenye 'Meno' Kwaajili ya Wabakaji Zazinduliwa Afrika Kusini




Kondomu zinazoitwa "Rape-aXe" ambazo ni maalumu kwaajili ya wanawake kuwakomesha wanaume wabakaji
Kondomu mpya kwaajili ya wanawake zenye meno kwaajili ya kuwafundisha adabu wabakaji zimezinduliwa nchini Afrika Kusini.
Kondomu hizo zinazoitwa "Rape-aXe" zilikuwa ni ndoto ya miaka 40 ya daktari wa nchini Afrika Kusini, Dr Sonnet Ehlers ambaye wakati akiwa na umri wa miaka 20 akisomea udaktari alikutana na mwanamke aliyebakwa ambaye alikuwa akilalamika sana.

Mwanamke huyo alimuambia Ehlers "Natamani kama kungekuwa na meno huko chini, ningemfundisha adabu yule".

Ehlers alisema kuwa alimwahidi mwanamke huyo kuwa siku moja atatengeneza kitu cha kuwasaidia.

Katika kuthibitisha ahadi yake, Ehlers amezindua kondomu kwaajili ya wanawake zinazoitwa "Rape-Axe" ambazo zimeanza kutumika wakati huu wa kombe la dunia.

Kondomu hizo zina kitu kama meno kwa ndani. Mwanamke anayeivaa kondomu hiyo anapobakwa, meno katika kondomu hiyo huunasa uume kama pingu.

Kondomu hiyo inaponasa kwenye uume, huwa haitoki kirahisi na mtu anapolazimisha kuitoa ndivyo inavyozidi kuubana uume kwa meno yake.

Ni madaktari pekee ndio wanaoweza kuinasua kondomu hiyo hivyo kuwawezesha madaktari kuwagundua wabakaji kirahisi na kuwaripoti polisi.

"Inasababisha maumivu makali", Ehlers aliiambia televisheni ya CNN katika mahojiano na televisheni hiyo kuhusiana na kondomu hizo.

"Mbakaji hataweza kukojoa wala kutembea wakati inaponasa kwenye uume wake, kama atajaribu kuitoa kwa nguvu, itaubana zaidi uume wake", alisema Ehlers.

Ehlers anasambaza jumla ya kondomu 30,000 kwa wanawake nchini Afrika Kusini ili wajilinde na wabakaji wakati wa fainali za kombe la dunia zinazoendelea nchini humo.

Hata hivyo kondomu hizo zimekumbwa na malalamiko toka kwa watu ambao wanahofia kondomu hizo zinaweza kutumiwa vibaya na wanawake kuwakomesha wanaume.

Mwanamke mwenye hasira kwa mpenzi wake anaweza kuzitumia kondomu hizo kumuaibisha mpenzi wake.

Hatari nyingine iliyoelezwa kuhusiana na kondomu hizo ni mwanamke kushambuliwa na mwanaume mbakaji kwa hasira za maumivu atakayoyapata.

Ehlers kwa upande wake amezitetea kondomu hizo kuwa zinahitajika ili kupunguza idadi ya wanawake wanaobakwa kila siku nchini Afrika Kusini.

Afrika Kusini ni miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa matukio ya ubakaji duniani ambapo asilimia 16 ya raia wa Afrika Kusini wanaishi na virusi vya ukimwi.
 
This week, the world is turning its attention to Africa for the World Cup games, but a terrible problem that’s been plaguing the continent for years is still going largely ignored. According to Human Rights Watch, South Africa has one of the highest rape rates in the world, and many women in the country live in constant fear of being attacked. One South African doctor, Sonnet Ehlers, is saying enough is enough — she sold her house and car to finance and invent a female condom laced with sharp tooth-like hooks that clamp onto an attacker’s penis upon penetration.

Taarifa zaidi: female condom
 
Jamani hiki kidude sijakielewa bado sana, lakini kama kweli chakinga madhara, na iwe hivyo.:evil:
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom