Anti Ezekiel afanya sherehe ya Ngoma Kibao Kata, Amwaga mauno ya Haja, Send Off yaja.....

JF bana.. Members wanaona sana vibanzi kwenye macho ya wenzao.. Hawaangaiki na kutoa kwanza maboriti kwenye macho yao kisha ndo wakatoe vibanzi kwenye macho ya wenzao..! Namtakia maisha mema huyo bi mdada..
 
ni binadamu wote tu tuko hivyo mkuu sosoliso
 
Last edited by a moderator:
langu mie jicho tu!! tena nimelinywea kungu asubuhiiiiiiiiii, lol! ol the best aunt!
 
anti ezekiel kaamua kwenda kinyume nyume. Kaanza na ndoa, imefuata kp, then send fool or sorry, send off, mwisho reception.
Sio lazima kufuata formula ile ile kila siku (kwa mujibu wa anti)

hii yote ni matumizi halisi ya nyuma kwanza mbele baadae
 
Baadaye mtasema ilikuwa aolewe ila Demonte kajazwa umbeya kamuachia manyoya. Tunawatakia mema hawa mabinti lakini wao wenyewe hawajitakii mema. Ndiyo maana wanaolewa mbali kwa kuwa mtu wa karibu hawezi kujitwisha hayo matatizo. Hawa wageni hawawajui hawa masupastaa wetu so ingekuwa nafasi kwao kujirekebisha lakini wapi bwana. Wanapata bahati za kuolewa then wanaendelea na u bongo movie wao, mwisho wanaachika tunapata aibu. Katulie we kahaba hiyo ndo karata yako ya mwisho. Angalia mwenzio Wema anavyomganda dogo, si anajua wengine wajanja? dogo atakuja kustuka pesa zikimuishia.
 
Juz kati mliweka uzi kuwa kaolewa.....,leo mwasema anafanya send off,.....Vipiiiiiiii?

ni hivi ameolewa tayari,then imefuata kibao kata,kitchen party tayari na send off ilikuwa jmosi hii serena hotel dsm,then party inafanyika dubai....mpangilio wake uko kinyume kaanza na ndoa......
 
Sherehe ya Kibao kata ndo sherehe gani hiyo jamani, mi najua kitchen party, sendoff then harusi, hebu wanadalesalamu nifungueni
 
Sherehe ya Kibao kata ndo sherehe gani hiyo jamani, mi najua kitchen party, sendoff then harusi, hebu wanadalesalamu nifungueni

watakuja wadada wenzio wakueleweshe, ingawa miaka ya 80 hadi 90, kibaokata ilikuwa ni ngoma maalum ya mashoga!!!!
 
Back
Top Bottom