Ansbert Ngurumo: Wabunge wadhalilishwe, DC alindwe???

Habari ya kishabiki zaidi..inafaa sana ingeandikwa na John Mnyika (public relation officer wa Chademu..lakini kuandikwa na mwandishi wa gazeti linalojibaragua kuwa huru..ni upotofu mtupu<br />
<br />
Amendika matope ya ushabiki
we kweli kiazi! DC ni kiongozi wa watu, mbunge ni kiongozi wa nani? Tumia makalio yako kufikiri vzr
 
we kweli kiazi! DC ni kiongozi wa watu, mbunge ni kiongozi wa nani? Tumia makalio yako kufikiri vzr

DC yuko kazini kwake anapigwa kwa kosa gani kama si uhuni na mwandishi (eti professional matope) anashabikia

Mbunge makini hawezi shawishi wananchi kumpiga DC ..lakini bange mbaya
 
DC yuko kazini kwake anapigwa kwa kosa gani kama si uhuni na mwandishi (eti professional matope) anashabikia<br />
<br />
Mbunge makini hawezi shawishi wananchi kumpiga DC ..lakini bange mbaya
mkuu naona bange inakuzengua kwa kichwa
 
Ngurumo,nakushukuru kwa kuliona hilo lakin usipoze maneno,tuwe wazi kwenye hili jambo kwani kiukweli wengine tulishakubali maneno ya Nape liwalo na liwe,kwani hamkumbuki yule mbunge kupitia CCM kule mkoani Mwanza aliyetuhumiwa kwa mauaji lakini kukamatwa kwake kulisubiri kibali toka kwa Spika?je huko Igunga walipewa kibali cha spika?vipi kama angelikuwa Dr Slaa anafanya kikao cha ndani eneo la mkutano wa CCM?Tuwe wakweli jamani hii nchi tunasubiri kipenga kwani hali ilipofikia inaudhi sana na inakera sana,hata hawa polisi acha waendelee kujipendekeza na kutumika lakini hata hao vibaraka wao na wapambe wa Nape nimekuwa nikiuliza kila mara Robert Kisena alipompiga OCD wa Maswa polisi walifanya nini?nna je hao wana CCM wanaosema hako ka DC kalidhalilishwa huyo OCD hakudhalilishwa?na hao wabunge wa Chadema kule Arusha walivyokuwa wakipewa kipondo na askari wa kiume kuwapiga wabunge wa kike hamkusema kwanini?
Nape alichokisema juu ya vijana wa CCM kutumika baada ya kumaliza mafunzo na kuuambia umma kuwa liwalo na liwe hajakosea?vipi kauli hiyo ingetoka Chadema?lakini zaidi zaidi hata mkuu wa kaya kakwea pipa ukizingatia alikuwa na usongo baada ya kusitisha safari kutokana na ajali ya Meli!
Nape endelea sana tena nakuomba na kesho toa kauli nyingine,ila usiulize kabisa huyo mama alienda kufanya nini huko?hivi ninyi mnadhani hatujui mambo yenu au hamjui kwamba hata usalama wa Taifa unavyshiriki na ulivyoshiriki mwaka jana hatujui?Nape ongeza bidii na mwambie huyo DC aendelee kusema uongo tene ikibidi apakazie hata kubakwa maana hata polisi tunajua wanavyotengeneza kesi,lakini nyie polisi zungumzieni basi kile Chadema walichofungulia jalada,je kesi hiyo mtaipeleka lini mahakamani au mtasema upelelezi haujakamilika?
Yana mwisho haya,haturudi nyuma mtatumaliza tu lakini haki itashinda tu hata kwa damu,tena tayari mlishaimwaga Arusha
 
Ivi yule DC hajapata ata jeraha?ili tuweze linganisha na yale ya mshumbuzi na ya Owenya ya jan 05
Alafu izi kinga za wabunge zinawahusu wa CCM tuu?
 
Vyombo vya usalama mböna kimya. Au wamemruhusu Nape atangaze hali ya hatari?
 
Tena huyo ilitakiwa atandikwe kama mwizi vile, bado alitoka salama wanalaumu? kunya anye kuku akinya bata kaharisha. Kwanza jina lenyewe tu halina hadhi ya kuwa mkuu wa wilaya anaonaekana ni waswahili walewale. kweli nchi yetu imeuzwa kwa hawa waswahili watz tutajuta sana kwa uongozi huu kuliko wakati mwingine wowote. Bora hata CCM ya Mkapa.

Majina ya Kiislamu ni tatizo sana kwa chadema!
Tatizo lenu lipo hapo tu! Mnajimaliza wenyewe!
 
Anapo kufanyia mtu makusudi ya lazima nawe huna budi kumuadhibu kwani mtu huyo hana nidha,CCM hamna nidhamu na ndo wachochezi wakuu wa kutoweka amani kwenye nchi yetu.
 
Ngurumo tunashukuru kwa mawazo mazuri. Tunataka habari za aina hiyo ambayo inafikirisha. Ukweli lazima uwe wazi na unapatikana pale tu mtu anapojifikirisha. Tukibaki tunapokea tu habari bila kupima kinachosemwa tutaishia kushabikia upande mmoja bila hoja za msingi. Kinachoelezwa na Ngurumo kiko wazi kama mtu anataka kukipinga lazima ajenge hoja za maana bila hivyo utaishia kwenye propaganda na siyo ukweli ulivyo na unavyopaswa kuwa.

Hoja ya Ngurumo haiwezi kujibiwa na maneno kama yale ya Nape kuwa DC ambaye ni mwanamke kashikwa mikono na wanaume, oh kavuliwa hijabu. Lazima mtu uende mbele zaidi kwamba alikutwa wapi na alikuwa anafanya nini? Huko Igunga katika kipindi hicho hicho tulisikia kwamba kiongozi wa kampeni ya CCM kafumaniwa akiwa na mke wa mtu. Tuseme aliyefumaniwa ni DC, Je, angevuliwa nguo tungesema amedhalilishwa? Haitoshi kusema kuwa amedhalilishwa inafaa tueleze kwanini adhalilishwe.
 
Back
Top Bottom