Ansbert Ngurumo endorses lowassa for presidency 2015?

Wewe nawe sijui ni wa wapi, unataka kusema hizo sifa au vigezo Ngurumo alivyovitaja anavyo Lowassa peke yake na hakuna Mtanzania mwingine? Mbona tunateswa na ufinyu wa mawazo namna hii jamani?
Your inference is misleading you.
 
Watanzania wengi sana wana hizo sifa wajitokeze nasi tutawachagua kupata bora zaidi yao ila wasipore uhuru an demokrasia yetu ya kuchagua tumtakae..maana uchaguzi wa 2010 una mizengwe hata leo hawataki kuelezea kisa 'chama kimoja hakiwezi kushika dola hata mtutu utatumika'
 
Sasa na wewe sijui umeibuka kutoka wapi? wapi katajwa Lowasa kwenye makala hiyo.Hivi mnalipwa on daily basis,weekly or monthly? nijibu alafu ntakuambia what is next
 
Nadhani ni mara yako ya kwanza kumsoma Ngurumo na laiti ungekuwa ni msomaji wa makala zake wa siku nyingi wala usingediliki kusema hayo uliyoyasema kuhusu Lowassa kwani Ansbert ni mpingaji nambali moja wa mafisadi wa sampuli ya Lowassa!!
 
Nadhani ni mara yako ya kwanza kumsoma Ngurumo na laiti ungekuwa ni msomaji wa makala zake wa siku nyingi wala usingediliki kusema hayo uliyoyasema kuhusu Lowassa kwani Ansbert ni mpingaji nambali moja wa mafisadi wa sampuli ya Lowassa!!

uvivu wa kufikiri unamsumbua ikiwa hajatumwa.
 
Kama Lowassa ni fisadi naomba ushahidi kuwa aiba wapi na sh ngapi
Ansbert hapo mkuu unapoteaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa au unalipwaaaaaaaaaaaaaaaa ??????????????katika watu waliopata pesa haraka tofauti na Azimio la Arusha angalia Google The 10 Richest men in TZ
Answer:

1. Said Bhakhresa
2. Mohamed Dewji
3. Yusuph Manji
4. Reginand Mengi
5. Mh. Mkono
6. Mwanamboka
7. J. Patel
8. Mh. Chenge
9. Mh. Lowasa
10. Mh. M. Shabiy
11. Mh. M. Abood
 
Back
Top Bottom