Another Misleading Article from Nation Media

Bantugbro

JF-Expert Member
Feb 22, 2009
4,476
4,250
Chinese firm to inject $3m into coal, iron ore mines

Chinese firm, Sichuan Hongda Corporation Ltd will invest $3 million in the Mchuchuma coal and Liganga iron ore production projects in Southern Tanzania.

This is the first major mining investment by the firm in Tanzania, after it was selected out of 48 international companies that bid to develop the two projects.

The projects will provide the base for industrial activities and a source of coal for both local industrial use, as well as for export.

It is also expected that the projects will influence the development of infrastructure.

Chrisant Mzindakaya, the chairman of the board of the National Development Corporation told The EastAfrican in Dar es Salaam last week that the Mchuchuma coal project, which is expected to produce 600 Megawatts of electricity will supplement the hydropower sources in Tanzania.

"The project will also necessitate the strengthening and building of new power transmission lines," said Dr Mzindakaya.

The country is notorious for chronic power rationing, largely due to overdependence on hydro sources.

Director of Heavy Industry in the Ministry of Industries, Trade and Marketing, Alley Mwakibolwa, said the Mchuchuma mining area has an estimated 540 million tonnes of coal deposits, which is enough to produce electricity for over 100 years.

"Once the Mchuchuma project is complete, the power rationing problem will be solved," he said.

Mr Mwakibolwa added that the 600MW of power expected will attract investment in other sectors as well.

The Mchuchuma project covers an area of about 141 square kilometres while the Liganga Steel Complex covers 179 square kilometres.

In February last year, NDC shortlisted 25 international firms for the Mchuchuma Coal and Liganga Iron ore concessions.

Nine firms were picked from these. They are BHP Billiton Worldwide Exploration Ltd of South Africa, China Huadian Engineering Company Ltd of China, Nava Bharat (Singapore) Pte Ltd of Singapore and Rio Tinto Minerals Development Ltd of United Kingdom.

The others are Sarda Energy and Minerals Ltd of India, Sichuan Hongda Company Ltd of China, STX Corporation of Korea, Tancoal Energy Ltd/Tata International Ltd of Tanzania and the AES Corporation Of the United States.

The government also prequalified five firms for the Liganga iron ore concessions in which Sarda Energy and Minerals Ltd, Sichuan Hongda Co, STX Corporation, Tancoal Energy Ltd/Tata International Ltd the AES Corporation were shortlisted.

Tancoal's submission was made alongside Tata International Ltd of India as a joint venture.

The Liganga iron ore deposits are located less than 100 kilometres from Tancoal's Ngaka coal project.

Source -The East African:
http://www.theeastafrican.co.ke/business/Chinese%20firm%20to%20inject%20$3m%20into%20coal%20iron%20ore%20mines/-/2560/1102558/-/vgw7e7z/-/index.html

My take:
Hivi $3 Million zinaweza kutosha hata kufanya feasibility study tu kwenye mradi wa mkubwa kama huu....au tu hawataki kuonyesha ukweli halisi?. Ukweli wa mambo ni kwamba investors (Sichuan Hongdda na Tancoal) wamekubaliana kuwekeza $3 Billion ambazo kwa madafu ni karibia Tsh 4 Trillion..
Source hii hapa toka Allafrica:

http://allafrica.com/stories/201101180131.html

I beg ooh!
 
Ni kiasi kidogo mno, hata tujisenti alitoiba ROSTAM pale BiOTii tunazidi mara nyingi tu hiki kiasi. Pia tuzo ya dowans ina zidi karibu mara mia.

$3m is hardly Tshs 4.5bil. What a joke is that!!!!!!
 
Ni kiasi kidogo mno, hata tujisenti alitoiba ROSTAM pale BiOTii tunazidi mara nyingi tu hiki kiasi. Pia tuzo ya dowans ina zidi karibu mara mia.

$3m is hardly Tshs 4.5bil. What a joke is that!!!!!!

real joke, hivi hii si thamani ya lori and mtambo mmoja tu kati ya ile iliyopo Bulwankulu au Geita Gold mines.
au hili nalo ni another downs, but this time not from costa rica but from china?
 
mkuu nimemwandikia huyu jamaa wa The East African it seems all the figure errors and distortion of facts are only happening on Tanzania's projects! hapa kuna kitu kimejificha nyuma yake esp. on that mediahouse policies towards Tanzania, a well conversant journalist (of which i believe Nationmedia has plenty) can not be not aware of the potential value of such a huge investment that involves coal, iron ore, electricity production and transmission! BTW why are many errors happening on Tanzania's issues? hamna editors huko? Hivi hamja-notice hilo? au ndo mambo yale ya ku-cover a country's visibility? I am glad people are starting to see the arrogance of our neighbors...we should just be aware of that!
 
Kweli ni vizuri hawa jamaa kuwafuatilia nyendo zao tokea mwanzo kabla mambo hayajaharibika.tukashitukia kufunga zizi wakati ng'ombe wote wameshatoka.
 
Kweli ni vizuri hawa jamaa kuwafuatilia nyendo zao tokea mwanzo kabla mambo hayajaharibika.tukashitukia kufunga zizi wakati ng'ombe wote wameshatoka.
Safari hii hamna wa kuibiwa ng'ombe wala nini hapa. Mkuu mimi naapa kulala pale pale mlangoni mwa zizi. ili asije ROSTAM NA WENZAKE WAKATUIBIA NG'OMBE WETU.
 
mkuu nimemwandikia huyu jamaa wa The East African it seems all the figure errors and distortion of facts are only happening on Tanzania's projects! hapa kuna kitu kimejificha nyuma yake esp. on that mediahouse policies towards Tanzania, a well conversant journalist (of which i believe Nationmedia has plenty) can not be not aware of the potential value of such a huge investment that involves coal, iron ore, electricity production and transmission! BTW why are many errors happening on Tanzania's issues? hamna editors huko? Hivi hamja-notice hilo? au ndo mambo yale ya ku-cover a country's visibility?

Mkuu, hawa jamaa wanafanya makusudi ku-distort ukweli juu ya mega-investment projects za Tanzania, hii imekuwa ni trend yao siku hizi.

BTW: Hata mimi jana nilimuandikia email ili abadilishe hii article lakini ameuchuna tu...
 
Watu wa ajabu sana kuna wakati walikuwa wanaponda saana Dar port ukilinganisha na Mombasa walikuwa wana-exaggerate hata capacities as if yakwao ni Durban! Ni wivu unawasumbua...We angalia kama ile article ati TZ ina internet users 300,000! that was intentionally smear attack written to show the World that Tanzania has no good environment to do business! why is the media in Tanzania not saying anything?
 
Debe tupu haliachi kuvuma; siku hizi hata project za maana haiendi tena kwao, ukiangalia viji-project vyao haswa upande wa energy ni vidogo dogo tu [30 to 60 MW] hata tukimpeleka mzee wa vijisenti anaweza kuwekeza huko lol!....:laugh:

Kenya prepares to open 60-MW Sondu Miriu

Kipevu I Diesel Project

Haya wanataka umeme wa Nuclear wakati Uranium hawana [labda wanategemea ya jirani wasiompenda!] ngoja tuone kama ROSATOM atawauzia hata chembe...

Rosatom to strengthen its positions: Voice of Russia
 
Hawa jamaa wanajitahidi kutu outperform kwa propaganda tu, lakini ukiangalia uhalisia hakuna kitu cha maana kinachoendelea kwao. lakini kwa wengine eti flyovers zilizojengwa nairobi ndiyo maendeleo, wakati maeneo ya vijijini hakuna miradi yoyote ya maana. en wey, never mind. akili na masikio yetu yako kwenye kuzuia dowans isilipwe. hayo ya watani wa jadi achana nayo.
 
Kenya are not outperforming us on propaganda, in fact Tanzanian are out performing them on propaganda. They are outperforming us on execution. They have more production than we have, they depend largely on fossil fuel for power but the rationing is not as cute as we have and the price/cost of electricity isn't as much as we are charged here. Kenya is smaller than our country but they are doing a lot than what we can do. They are more on actions than we are.
 
Mbona mwandishi wa hiyo habari ni Mtanzania anaitwa JOHN MBALAMWEZI na ni special correspondent
 
Pamoja na kuwa na Editors hauoni pia kuwa huyu mwandishi naye kakosea
kwenye uandishi kuna watu wanaitwa editors na wao ndio wanaamua nini kichapwe na kazi yao ni kulisoma gazeti zima na kukosoa errors na pia kuangalia hata maudhui ya habari ili kuepa uwezakano wa kushtakiwa au upotoshaji! Editor huwa responsible na any legal charges towards the news paper!
 
mkihangaika na nani anawarushia madongo mnapoteza muda bure!! funga mkanda, pandisha "sleeves" za shati lako, jipinde kazini!! utamshinda kila anayekuja na kelele za kwamba eti huwezi hiki au kile! matokeo ya kazi yako yatamtia aibu....
 
Back
Top Bottom