Another Day in "Kyerefaso"? The Land not Named

Imebidi nicheke jina la 'Kyerefaso' hiyo ni Tz yangu mwanawani inasikitisha na pia inakasirisha... lakini wokovu u karibu tunapaswa kuamini hili...Kila kitu hakikosi kuwa na mwisho kama kilikuwa na mwanzo basi mwisho upo ni sawa na uhai baada ya yote ni kifo basi tunaingojea hiyo siku mpaka asubuhi ya machweo yajayao.
 
Mkuu Mzee Mwanakijiji shukuru mungu hizi ID tunazojificha nazo zinasaidia nafikiri wewe ungekuwa ni namba mbili baada ya Dr Ulimboka kwenda kutembelea ile misitu yetu ya Mabwepande

Son of b...ch, do you think you will do that for a life time? No no no i blieve in land, not named yet, may be will be TANGANYIKA storm is coming for them!
 
Back
Top Bottom