Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
This is african democracy.
nataman ingekuwa Guinea ya IKWETA
jatika mapinduzi ya kijeshi wanajeshi wote na walio wengi wanaypenda sana kwa sababu ya kuwalala wanwake kinguvu. Pale Mali wanawake ktk mabenki, walikuwa wnachukuliwa kinguvu na kubakwa sana. halafu sehemu kama vile za osterbay, masakai mbezi beach ndizo wnajeshi hupenda kwenda kuwachagua wanwake wa kuwalala kinguvu. Usiku mmoja tuu pale bamako jumla ya wanwake 51 thousands walibakwa kinguvu/ usiombee jeshi lichukue madaraka.
Yakitokea TZ, basi BOT, NBC, NPF Tanesco Oysterbay , masaki, mbezi beach wake chonjo . humo ndimo wanwake wazuri na wanotunzwa kipesa walipo na utakuja wanjeshi huvamia humo iwe usiku au mchana. Pale Kenya yalipotokea mapinduzi ya kumta Moi mwaka 1982, Kule west land mademu na wake za watu walibakwa sana sana .