The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,337
- 12,906
Bado mahali fulani!
Can't wait to hear it happening!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado mahali fulani!
Safi sana.Halafu mktaba wa siri ambao serikali ya Gomes iliingia na Angola inabidi uwekwe hadharani. Ukibaraka ni mbaya sana,jeshi la Guinea Bissau kweli ni la Wananchi.
Demokrasia ya kinafiki inapoleta vibaraka na wezi,ni lazima option number 2 itumike.Najua wanafiki wa ECOWAS watasema sana na hata AU lakini hiyo ni club ya viongozi wabovu na wengi wao ni vibaraka wa mabebru period!
Sasa jeshi liandae modality ya democratic institution baada ya kuunda serikali ya mpito.Ihakikishe mahakama imara,Bunge lenye meno.Tuanze upya
Mmmhhh hapo mahali flan sidhani maana safu yote ya juu kaweka masela wake so hawawezi mtosa!
Bado mahali fulani!
ARTICLE YAKO NI NZURI SANA ILA UMEHARIBU HAPO NILIPO TIA NYEKUNDU. huo ni usemi wa kichuki dhidi ya kuwa rafiki wa USA, Israel na western europe. Kenya amekuwa rafiki wa nchi hizo nilizotaja hapo juu, ona alipo leo kiuchumi, elimu na ustawi wa jamii. Sisi tulikuwa tunawaita kenyatta kuwa ni kibaraka wa CIA, ona alivyowalea wakenya. Angalia Nigeria, Ghana, Ivory Cost, Botswana na Senegal ambao ni marafiki wa western, USA na Israel walivyo juu ki uchumi.
Unemployment Tanzania haitaweza kuja kushuka kama tukiwa na watu kama wewe wawili ktk jamii. na hao vibaraka wa Iran, Misri na Saudi Arabia mbona huwasemi ? Jiulize ni nani ambaye anatukataza kutopekeka ubalozi kamili Israel kama siyo Saudi arabia na Iran? wewe angalia sana kiburi cha kisiasa kinavyoweza kutesa watu kwa bila ya sababu.
Bado mahali fulani!
Afrika ina laana
ni vizuri kusoma historia ya Guinea Bissau kabla hujarukia kusema ulivyosema.ni ishara ya kuchoshwa na utawala dhalimu usiozingatia misingi ya haki na demokrasia
ubauzi,ufujaji wa rasilimali za nchi,kujikusanyia mali isivo halali nk.
mm nawanunga mkono sina haja kuwalaumu wamechoka kusubiri maendeleo ya midomoni