Annual engineers day around the corner

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Ndugu Wahandisi, na Wananchi kwa ujumla, tarehe 3 na 4 September 2009, Engieers Registration Board Itakuwa na 7th Annual Engineering Day ( AED 2009) hapo Mlimani city.

Wahandisi na watu wa Kada Mbali mbali wanaruhusiwa ku attend.

Maelezo zaidi

www.erb.go.tz

Asanteni
 
Back
Top Bottom