Annual dominion 70 Yametimia yaliyoandikwa?

Mwanahisa

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
1,382
510
............ John while exiled on Potmos wrote of the End time's.
The elements of the earth melting away,

An army of 200million in one case battles that would all center on a hot spot in the middle east.

Taarifa za hivi karibuni zinasema, Uchina ndio nchi yenye jeshi kubwa duniani linalokadiriwa kuwa na idadi ya wanajeshi millioni 2.8 (active soldgers in uniform), Akiba (reservist) ya wanajeshi million 1, wakiwa na back up ya militia million 15. Kwenye taifa lenye idadi ya watu billion 1.2 ambao kati ya raia hao million 200 wako fit kwa uhitaji wa kazi za kijeshi muda wowote wakitokea uraiani.

Wakati Yahana (JOHN) alikua akipewa mafunuo haya huko kisiwa cha Patimo, idadi aliyoitaja ya wanajeshi million 200 ilikua ni mara 4 au 10 ya idadi ya watu waliokua duniani wakati huo. (WORLD POPULATION).
Sasa ndio tuseme ule ufunuo unatimia? Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom