Annoiting water and wristband from TB JOSHUA!

Ubungoubungo

JF-Expert Member
Jul 28, 2008
2,502
739
nimekuwa nikiangalia Scoan and emanuel Tv for a long time, nimetokea kupenda na kuwaamini....jamani, nani anaelewa hapa tz naweza kupata wapi anoiting water and wrist band from TB joshua? anayefahamu tafadhali naomba weka hapa ili watu waje kuzichukua....my understanding is that they are free of charge. ....au kama kuna mtu anayeenda, tafadhali naomba kuwasiliana naye...thanks.
 
Labda ungebadili jukwaa mzee,kwenye jukwaa la Dini kunaweza kuwa na wadau wenye hii taarifa
 
kaka ubungo ubungo wewe ni mfuatiliaji km mimi. hope mwezi mungu akipenda wife ataenda huko. kuna mama mmoja rafiki yake wife yeye ni regular visitor pale SCOAN alikwenda huko tar 20 mwezi dec mwaka jana akarudi jan 5 alikuja na anointed water lkn watu walizishambulia zote zikaisha. huyu dada ana tailor yake pale town opposite na J MALL alikuwa mjamzito nadhani atakuwa keshajifungua. alikuja na wristband moja tu ya kwake. mkuu tuombe mungu ikifika april mambo yakiwa supa wife atakwenda huko.
 
TAHADHARI.
Msikimbilie sana miujiza mtakuja kupotezwa vibaya mno.

Katafute kwenye BIBLIA KAMA UTAONA MAJI YA UPAKO......kILA KITU KIPIMWE KWA NENO LA MUNGU.
NI BORA UKAMPOKEA BWANA YESU UTAFAHAMU ZAIDI
 
Back
Top Bottom