The Dreamer
JF-Expert Member
- Feb 2, 2009
- 1,282
- 20
CV ya spika mbona kichefuchefu. Na siku si nyingi atakuwa dokta wa heshima. Miaka yote hiyo ameshindwa kuwa na hata kapostgrad diploma. Ni kilaza tu. Lakini namtakia heri ktk kuendesha bunge. Afterall jina lake zuri "Anne"