Anne Makinda Usipoangalia Hata Hapa Kwetu Mjengoni Yaweza Tokea

Wanaume eeh!!
Sasa Bi Mkora akipigwa kama hivi itakuwaje na zile artificial hair zake?labda Job Ndugai atamtemtea,sipati picha itakuwaje,komba naeeeeeeee!wwooooooooooooooooooooooooo mbavu sina!
 
Na bila kusahau kumbe sio kina Mrema wachapao usingizi? hata huko hii ipo! Hapa ni bungeni Japan!


Hawa wana haki ya kulala. Wamechoka kwa mauvumbuzi na maidea ya ukweli. Sasa wasira akilala kachokani?
 
Du kwa kweli nimecheka sana nikiwa najaribu ku imagine inatokea pale mjengoni.... Nadhani Mama atakuwa ameona pia.
 
ikitokea Anne Makinda B. Kiroboto atamrukia Zito au Tundu Lisu maana ndio kama watani zake mjengoni. Anna kilango atamrukia Sofia Simba bila kujali kuwa ni chama kimoja, Lowasa atamrukia Sita, na kumpa za Uso mapema
 
Back
Top Bottom