Anne Makinda Stop this!!

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya bunge lililopita na kukutana na kauli sa spika akitaka mawaziri wajibu maswali kwa kifupi sana na hata kuzuia maswali ya nyongeza kwa kisingizio cha muda hautoshi
kinachoniacha hoi ni pale anapotumia muda mwingi kutambulisha wageni kama wake na waume wa waheshimiwa wabunge...je huu si upotezaji wa muda muhimu unaolipiwa gharama kedekede huko Dodoma instead of discussing serous issues na important matters tunapoteza muda kupeana intro bungeni? Huku tukibaki na viporo vya hoja na kuvifowadi vikao vya mbele...
Kwa speed hii tutafika kweli?
 
Bunge la mipasho....tunawasubiri warudi siju lini tena...kama tutakuwepo maana kazi imeshaanza sijui kama wabunge watakutana tena kama walivyo
 
HACHA MAKINDA AFANYE HIVO NI SEHEEMU YA "KUJAMIIANA":mullet:

Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya bunge lililopita na kukutana na kauli sa spika akitaka mawaziri wajibu maswali kwa kifupi sana na hata kuzuia maswali ya nyongeza kwa kisingizio cha muda hautoshi
kinachoniacha hoi ni pale anapotumia muda mwingi kutambulisha wageni kama wake na waume wa waheshimiwa wabunge...je huu si upotezaji wa muda muhimu unaolipiwa gharama kedekede huko Dodoma instead of discussing serous issues na important matters tunapoteza muda kupeana intro bungeni? Huku tukibaki na viporo vya hoja na kuvifowadi vikao vya mbele...
Kwa speed hii tutafika kweli?
 
Hata kama ni moja ya taratibu but when it comes into narrowing important time for the sake of widening social activities inakuwa sio fair
 
Spika katumwa na watu wa kundi fulan na wamempa mbinu ili kupitia kwazo waweze kufanikisha uozo wao,ila sio makinda tu hata wabunge wetu wanapoanza eti kuwashukuru kwa kuwataja majina wake,watoto,binamu pamoja na waganga wao kwa kuweza kufanikisha zoezi la kuingia bungeni ni ufisadi mwingine ambao nafikiri tuanze ku deal nao, hatujawatuma waende bungeni kutangaza majina ya wake na watoto wao,...
 
mie hata sijui tatizo ni uzee au kutosoma au ni nini mtu katumwa na wananchi analipwa mamilioni ya mshahara then unamwambia jibu kwa kifupi is non sense wizi mtupu yaani amekaa kama pazia tu!spika lazima uwe strong acha wabunge na mawaziri wajiachie tena kwa mijadala mizito
 
Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya bunge lililopita na kukutana na kauli sa spika akitaka mawaziri wajibu maswali kwa kifupi sana na hata kuzuia maswali ya nyongeza kwa kisingizio cha muda hautoshi<br />
kinachoniacha hoi ni pale anapotumia muda mwingi kutambulisha wageni kama wake na waume wa waheshimiwa wabunge...je huu si upotezaji wa muda muhimu unaolipiwa gharama kedekede huko Dodoma instead of discussing serous issues na important matters tunapoteza muda kupeana intro bungeni? Huku tukibaki na viporo vya hoja na kuvifowadi vikao vya mbele...<br />
Kwa speed hii tutafika kweli?
Inkoskaz, Spika Makinda ana madudu yake, lakini hili la maswali kwa kifupi na majibu kwa kifupi ndiko kutalifanya bunge liwe vibrant. Bungeni sio mahali pa kupiga siasa. Zile enzi za kinapanda, kinashuka na kuzunguka zunguka zimepita. Swali liulize facts lijibiwe kwa facts na liishe.

Na hili la kutambulisha watu,Spika Makinda anastahili pongezi, amefutilia tambulisho nyingi nyingi za kipuuzi. Ilifikia wakati tambulisho ziligeuka kero na kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu ziligeuka campaign mechanisim.
 
Spika katumwa na watu wa kundi fulan na wamempa mbinu ili kupitia kwazo waweze kufanikisha uozo wao,ila sio makinda tu hata wabunge wetu wanapoanza eti kuwashukuru kwa kuwataja majina wake,watoto,binamu pamoja na waganga wao kwa kuweza kufanikisha zoezi la kuingia bungeni ni ufisadi mwingine ambao nafikiri tuanze ku deal nao, hatujawatuma waende bungeni kutangaza majina ya wake na watoto wao,...

Mi kweli wabunge wengine wanaboa..nimewahi kusikia mbunge anauliza eti kwa nini njiwa anataga mayai mawili?mwingine pia aliuliza eti kwa nini wanawake wanaota ndevu na mwingine aliwahi kuuliza kuwa je ndani ya bunge letu kuna wabunge wangapi mke na mume?
Hayo maswali yana tija gani kwao na wapiga kura wao?ndo maana wanaishia kuwaste time kupitisha sheria isiyotekelezeka ya adhabu kwa kosa la kukonyeza
eza
 
yaani nafikiri wabunge pale ni kijiweni wanaenda kurelax na kujiondolea misukosuko ya kuombwa misaada jimboni
 
yaani nafikiri wabunge pale ni kijiweni wanaenda kurelax na kujiondolea misukosuko ya kuombwa misaada jimboni

msiumize kichwa nyie, bunge hili halina spika...mimi simjui spika ni nani?? kwani spika wa bunge ni nani??
 
ndugu hacha kunifurahisha! umesahau kuwa BUNGE la sasa hivi ni kituo cha REDIO kinachorusha matangazo ya SALAAMU??? na mtangazaji ni kilaza (KIBONDE) MAKINDA, unategemea nini? kichefuchefu ni pale ambapo mbunge wa KIJANI anapopewa nafasi kuchangia hoja, badala yake anazungumzia mikakati yake ya kugombea msimu ujao! mlitegemea nini kupeleka wataalamu wa UBONGO wa FLEVA, WAGANGA wa JADI na vimeo vingine????hii ndo TAA-ZIMIA yetu bwana!

Back
Top Bottom