Anne Makinda: Spika wangu wa bunge la Tanzania nakushukuru kwa elimu yako!

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Wanabodi,

Wakati mwingine ni vyema kumsoma mtu maneno yake vizuri! Sintasahau maneno haya kutoka kwa Spika wangu, "Kwamba mbunge anakatwa mkopo laki nani, Sh. 800,000/-" hivyo "take home" yake inakuwa ndogo, ati hiki kilikuwa pia kigezo cha kuomba posho ziongezwe.

Somo kubwa hapa:

Kila ambaye ana mkopo kwenye mshahara wake atumie kama kigezo kuongezewa mshahara zaidi: Maajabu ya Dunia ambayo ni mara yangu ya kwanza kuyaelewa.

Kwa maana nyingine kila ukikopa hiyo ni motivation ya kuongezewa mshahara ili "take home" yako inone. La haula.....:A S embarassed:

Walimu mpo? maktari mpo?
 
HANA HADHI YA KUITWA SPIKA! AnA UDHALILISHA WADHIFA WA USPIKA.
 
Huyu mama ni wa kumsamehe tu. Hajawahi kuolewa tangu aingia usichana wake na mchumba wake aliahirisha mipango ya kumuoa baada yu kugundua kamama kanashiriki kwenye vitendo vya kishirikana. Nakumbuka kalikuwa kanamuwekea jamaa utumbo wa konokono kwenye maji ya kuoga ili eti kaendelee kupendwa. No wonder kalikataa kutumia kiti ambacho alikuwa anatumia spika Sitta na kakadai kubadilishiwa na kupewa kipya.
 
NISHANI KITU GANI? Huyo anayewapa hiyo nishani Hana chembe ya uadilifu na uongozi hata kidogo! WALE WALE TU..Fisadi Kama Mafisadi Wengine.
 
Huyu mama ni wa kumsamehe tu. Hajawahi kuolewa tangu aingia usichana wake na mchumba wake aliahirisha mipango ya kumuoa baada yu kugundua kamama kanashiriki kwenye vitendo vya kishirikana. Nakumbuka kalikuwa kanamuwekea jamaa utumbo wa konokono kwenye maji ya kuoga ili eti kaendelee kupendwa. No wonder kalikataa kutumia kiti ambacho alikuwa anatumia spika Sitta na kakadai kubadilishiwa na kupewa kipya.

Mwita, ni wewe au email imekuwa hacked?
 
Wala sishangai hilo ni zao la mafisadi na ufisadi!!! Hako kamama nikikaona kananichefuaaaaaaa!!!
 
Huyu mama ni wa kumsamehe tu. Hajawahi kuolewa tangu aingia usichana wake na mchumba wake aliahirisha mipango ya kumuoa baada yu kugundua kamama kanashiriki kwenye vitendo vya kishirikana. Nakumbuka kalikuwa kanamuwekea jamaa utumbo wa konokono kwenye maji ya kuoga ili eti kaendelee kupendwa. No wonder kalikataa kutumia kiti ambacho alikuwa anatumia spika Sitta na kakadai kubadilishiwa na kupewa kipya.

teh teh teh teh......!mmmmmnnnh! Jamani kuna mambo humu. Asente kwa kiminyio bwana.
 
Huyu mama ni wa kumsamehe tu. Hajawahi kuolewa tangu aingia usichana wake na mchumba wake aliahirisha mipango ya kumuoa baada yu kugundua kamama kanashiriki kwenye vitendo vya kishirikana. Nakumbuka kalikuwa kanamuwekea jamaa utumbo wa konokono kwenye maji ya kuoga ili eti kaendelee kupendwa. No wonder kalikataa kutumia kiti ambacho alikuwa anatumia spika Sitta na kakadai kubadilishiwa na kupewa kipya.

Kweli dunia haiishiwi maajabu.
 
mmh mwita25!
 
Inaelekea alikuwa mtu wako wa karibu sana. Au ni wewe uliyekuwa mume mtarajiwa?
 
Si nilisikia wamekopeshwa mil 90 sasa kwa makato ya laki 8 ndani ya miezi 60 unapata mil 48 sasa hapa ndo sielewi kama makinda anaongea ukweli.
 
Huyu mama ni wa kumsamehe tu. Hajawahi kuolewa tangu aingia usichana wake na mchumba wake aliahirisha mipango ya kumuoa baada yu kugundua kamama kanashiriki kwenye vitendo vya kishirikana. Nakumbuka kalikuwa kanamuwekea jamaa utumbo wa konokono kwenye maji ya kuoga ili eti kaendelee kupendwa. No wonder kalikataa kutumia kiti ambacho alikuwa anatumia spika Sitta na kakadai kubadilishiwa na kupewa kipya.
Mkuu hivi ni wewe kweli ama kuna mtu kaandika badala yako? Kama ni wewe basi naanza kuona mwanga wa neema ya mabadiliko ya kweli kwa mbaaaaaliiiii...
 
tanzania ha2na viongoz 2na watawala kazi kuongezeana posho bungeni .2tafika kweli 2endako
 
Huyu mama ni wa kumsamehe tu. Hajawahi kuolewa tangu aingia usichana wake na mchumba wake aliahirisha mipango ya kumuoa baada yu kugundua kamama kanashiriki kwenye vitendo vya kishirikana. Nakumbuka kalikuwa kanamuwekea jamaa utumbo wa konokono kwenye maji ya kuoga ili eti kaendelee kupendwa. No wonder kalikataa kutumia kiti ambacho alikuwa anatumia spika Sitta na kakadai kubadilishiwa na kupewa kipya.
Mwita25???Kweli ngozi ya kondoo kumbe ndani .......
 
Mkuu Kasheshe,

Sijakuona siku nyingi sana, salama lakini? Mpaka na wewe umesema basi hapa naona Mama kachemsha sana maana justification yake hai-make sense hata kwa mtoto mdogo.

Sehemu zote ambazo nimeishawahi kufanya kazi, mfanyakazi huwa haruhusiwi kukopa mpaka take home yake iwe less than one-third ya basic salary yake. Sasa kwanini waheshimiwa wanaruhusiwa kukopa mpaka take home inakuwa ndogo?

CCM walifanya kosa kubwa sana kumuweka huyo mama kwenye hiyo nafasi, nadhani watakuwa wanajuta kwanini walimuweka. Hili swala la posho litawazingua sana wana CCM na kuzidi kuwagawa zaidi, na chuki ya wapiga kura ndo inazidi kuongezeka!
 
Huyu mama ni wa kumsamehe tu. Hajawahi kuolewa tangu aingia usichana wake na mchumba wake aliahirisha mipango ya kumuoa baada yu kugundua kamama kanashiriki kwenye vitendo vya kishirikana. Nakumbuka kalikuwa kanamuwekea jamaa utumbo wa konokono kwenye maji ya kuoga ili eti kaendelee kupendwa. No wonder kalikataa kutumia kiti ambacho alikuwa anatumia spika Sitta na kakadai kubadilishiwa na kupewa kipya.

Duh!!!!!!
 
Back
Top Bottom