Anne Makinda angalia maspika wenzako wanavyohenyeshwa kule House Of Commons

Nikupateje

JF-Expert Member
Dec 22, 2009
1,334
988
Anne Makinda, Job Ndugai waone jinsi Spika wa House of Commons, UK anavyotaabika kuwathibiti wabunge hadi inafika mahala mtu anashindwa kuonga na kukaa mwenyewe kwa sababu ya kuzomewa na vituko na kejeli kwa kwenda mbele.

Bonyeza hapa
 
BAADA YA MIAKA MINGI YA KUONDOKEWA NA VYOMBO VYETU VYA 'DOLA' NA 'MAHAKAMA' KUTUMIKIA VIONGOZI NA WENYE HELA TU, 'BUNGE' NALO SASA LATUPONYOKA RASMI KUWA CHOMBO CHA KUTETEA MAFISADI

Ni masikitiko makubwa yalioje kwamba Taifa la Tanzania sasa ni rasmi tumepoteza chombo Muhimu sana kwa jina la
Bunge.

Hiki ndicho pekee chombo tulichobaki nayo mara baada ya kupodeza
DOLA zima pamoja na MAHAKAMA. WaTanzania twende wapi sasa????????????

Mama Makinda, kamwe hatutokaa tukusahau katika hili sawa tu na jinsi Mzee Lewis Makame alivyotutenda WaTanzania kule kuchakachulia CCM kura zetu hivi hivi.
 
BAADA YA MIAKA MINGI YA KUONDOKEWA NA VYOMBO VYETU VYA DOLA NA MAHAKAMA, BUNGE NALO SASA LATUPONYOKA RASMI KUWA CHOMBO CHA KUTETEA MAFISADI

Ni masikitiko makubwa yalioje kwamba Taifa la Tanzania sasa ni rasmi tumepoteza chombo Muhimu sana kwa jina la
Bunge.

Hiki ndicho pekee chombo tulichobaki nayo mara baada ya kupodeza
DOLA zima pamoja na MAHAKAMA. WaTanzania twende wapi sasa????????????

Mama Makinda, kamwe hatutokaa tukusahau katika hili sawa tu na jinsi Mzee Lewis Makame alivyotutenda WaTanzania kule kuchakachulia CCM kura zetu hivi hivi.

Ni kweli Makinda ni tatizo. Lakini je, unalalamika au unasaidia kuleta solution tuijadili?
 
Huyu mama hilo joho na hiyo siwa ya dhahabu vinampa kichwa sana, freedom is coming.
 
Huyu mama hilo joho na hiyo siwa ya dhahabu vinampa kichwa sana, freedom is coming.

Mkuu, mimi ninamsikitikia huyu mama Makinda, kwamba ameingia katika vitabu vya historia ya TZ na nadhani hata katika hansards za bunge kwamba ni kiongozi pekee katika TZ aliyeonesha ukatili wa hali ya juu wa kutokuona huruma na uchungu baada ya kusikia taarifa ya maafa ya kuzama kwa meli na watu kupoteza maisha lakini akang'ang'ana kutaka kuendelea na kikao.

Only in Tanzania.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom