Anne Kilango Malecela awa bubu ghafla

Tz si ya kurisishana, baba hadi mtoto.... Don't even think again to engage in politics, nimekuona, do other stuffs don't waste ur time, hufai... Huna mvuto kwa watu kisiasa kabisaaa.... I advice u do wrestling.... like Kumaga or Big Show.... utangaaa

- Sarakasi za Dodoma hazikuwa sawa na kuvuka Bermuda Triangle, tena mara tatu nikiwa Baharia, nimeingia siasa za bongo in only three months, nimeweza kufika hatua ya mwisho kitu ambacho wengi waliokuwepo kabla yangu wameshindwa, so tupo kwenye the right track na subira huwa inavuta heri.

- Somo kuhusu mama naona limeeleweka sana sina sababu ya kulirudia tena, saa ya kulala sasa unajua tena mkuu wangus!

Willie @DSM City!
 
Katika hali ya kustaajabisha Mbunge machachari wa CCM amekua bubu ghafla kwenye hoja ya kuwajibisha mawaziri wabadirifu kwa kutokoenekana katika mijadala hata ya kuweka saini kama kweli alikosa nafasi ya kuongea.

Je ni kweli mbunge huyu yupo tayari kumvisha Paka kengele au yupo tayari kutetea Paka asivikwe Kengele.Tuaomba afunguke kama kweli yupo na dhamira ya dhati ya kupambana na Mafisadi...

Msimamo wake upo wapi...Same Mashariki tunasubiri sauti yetu kupitia wewe....

Mnafiki mkubwa huyu mama hana lolote. Rangi yake ya ukweli ndo inaonekana sasa.....
 
Tz si ya kurisishana, baba hadi mtoto.... Don't even think again to engage in politics, nimekuona, do other stuffs don't waste ur time, hufai... Huna mvuto kwa watu kisiasa kabisaaa.... I advice u do wrestling.... like Kumaga or Big Show.... utangaaa

- Ha! ha! ha! ha! ha! Great Thinking, from a Great Thinker! ha! ha! ha! ha! unajua ukiuza utumbo huwezi kuogopa harufu, mkuu soma history japo kidogo tu ya Great Leaders, walishindwa kwanza ndio wakashinda, so tunajipanga na tutakuja tena upyaa, tumejikita kwenye siasa za bongo kwa miezi mitatu tu tumekwenda all the way to the final, dalili njema sana so stay tuned mkuu wangu sana! ha! ha! ha! ha!

- Otherwise, Mh. Anne Kilango, ameenda US kutafuta malighafi za kumalizia kiwanda cha kipya cha Tangawizi kule wkenye jimbo lake, kiwanda ambacho kikianza mwanzoni mwa mwezi ujao kitasaidia mikoa yote ya jirani na Same East, huo ndio tunaita uongozi, unakuta jimbo liko tupu unaliletea ajira na kiwanda.

- Hayo mengine ni ya kawaida, keep it on!

Willie @DSM City!
 
Alimpigia kura pamoja na kampeni, kushindwa kwa Le Mutuz kumedhihirisha kuwa ile kambi yao haina nguvu kamwe.

- Unajua hili ndilo tatizo la hili taifa, Great Thinker unaanza kuongea lugha za mitaani za siasa za makundi, eti kundi halina nguvu badala ya kujadili kama wananchi wana nguvu, yaaani maana yake ni kwamba na wewe ume-surrender kwa makundi, ndio maana hili taifa tunazidi kwenda chini, tubadilike mkuu wangu! ha! ha! ha! ha1 ha!

Willie @DSM City!
 
Sasa ni saa 3.48 asubuhi, tafadhali mliopo dom tujulisheni kinachojiri mjengoni. Ile bahasha yenye uzito wa tani elfu imeshatua mezani kwa bi kiroboto?
 
Katika hali ya kustaajabisha Mbunge machachari wa CCM amekua bubu ghafla kwenye hoja ya kuwajibisha mawaziri wabadirifu kwa kutokoenekana katika mijadala hata ya kuweka saini kama kweli alikosa nafasi ya kuongea.

Je ni kweli mbunge huyu yupo tayari kumvisha Paka kengele au yupo tayari kutetea Paka asivikwe Kengele.Tuaomba afunguke kama kweli yupo na dhamira ya dhati ya kupambana na Mafisadi...

Msimamo wake upo wapi...Same Mashariki tunasubiri sauti yetu kupitia wewe....

Huenda anapiga mahesabu ya mtu atakayeteuliwa kugombea urais 2015. Unadhani yeye haogopi kuwekwa juu ya mawe kama mumewe?
 
- Ha! ha! ha! ha! ha! Great Thinking, from a Great Thinker! ha! ha! ha! ha! unajua ukiuza utumbo huwezi kuogopa harufu, mkuu soma history japo kidogo tu ya Great Leaders, walishindwa kwanza ndio wakashinda, so tunajipanga na tutakuja tena upyaa, tumejikita kwenye siasa za bongo kwa miezi mitatu tu tumekwenda all the way to the final, dalili njema sana so stay tuned mkuu wangu sana! ha! ha! ha! ha!

- Otherwise, Mh. Anne Kilango, ameenda US kutafuta malighafi za kumalizia kiwanda cha kipya cha Tangawizi kule wkenye jimbo lake, kiwanda ambacho kikianza mwanzoni mwa mwezi ujao kitasaidia mikoa yote ya jirani na Same East, huo ndio tunaita uongozi, unakuta jimbo liko tupu unaliletea ajira na kiwanda.

- Hayo mengine ni ya kawaida, keep it on!

Willie @DSM City!

i always like the way you hold your temper. Of course this is not a coincidence........you possess the traits of a person I guess you know.........!
 
i always like the way you hold your temper. Of course this is not a coincidence........you possess the traits of a person I guess you know.........!

- Sure, ukiingia biashara ya utumbo huwezi ogopa harufu, ukiamua kuwa politician and a public figure as I am huogopi blah! blah! blah! cause mti usio na matunda mema haurushiwi mawe hata siku moja, huwa ni mti saafi tu unaorushiwa mawe all the times!

- So I love it, na huwa ninawashangaa sana our politicians wanavyoiogopa JF, I mean as a good politician this is the greatest free media you can ever find in our society, mimi sikujua kwamba hizi siasa zina ukabila mpaka kwenye media, ndio maana I love JF cause hakuna ukabila wala anything hapa ni wewe tu kukubali kusulubiwa in the name of progressing yr agenda au selling yourself as a leader!

Thaanks Bro!

Willie @ DSM City!
 
katika hali ya kustaajabisha mbunge machachari wa ccm amekua bubu ghafla kwenye hoja ya kuwajibisha mawaziri wabadirifu kwa kutokoenekana katika mijadala hata ya kuweka saini kama kweli alikosa nafasi ya kuongea.

Je ni kweli mbunge huyu yupo tayari kumvisha paka kengele au yupo tayari kutetea paka asivikwe kengele.tuaomba afunguke kama kweli yupo na dhamira ya dhati ya kupambana na mafisadi...

Msimamo wake upo wapi...same mashariki tunasubiri sauti yetu kupitia wewe....

hiyo ndo tofauti kati ya wapiga kelele na wazalendo wa kweli
 
Nawashangaa mnaomwita huyu mama mpambanaji.huyu anaitwa mpiga kelele.
 
Jamani tutofautishe wenye uwezo wa kupiga kelele ili wasikike na walio na uwezo wa kutumikia wananchi
 
Kweli kwenye uongo ukweli ujitenga ,mungu hamfichi mnafiki, siku za mwizi ni arobaini. Sasa tumewajua wanafiki maana huyu mama alionekana mpinga mafisadi na shujaa leo tunaona kuwa alikuwa anatafuta umaarufu. Anna sasa umeumbuka, uko wapi kupinga ufisadi hata sahihi yako hatuioni
wewe ni anna gamba harisi
 
aaaaahhhh alifikiri kwa kuongea sana na kutetea visivyotetewa,mwanae atapata ubunge wa Afrika Mashariki.

Baada ya kupoteza pesa nyingi,na mtoto kushindwa amekuwa na hasira sana.

Anajifanya muongeaji sana bungeni analake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom