Anne Kilango awavaa CHADEMA...

  • Asisitiza damu kutomwagika 2015

  • Awwaonya wanaotoa lugha chafu dhidi ya JK

Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango amewashukia baadhi ya viongozi wa Chadema wanaojipitisha jimboni kwake na kutoa kauli za kuhatarisha amani iwapo hawatashinda katika uchaguzi wa Mwaka 2015.

Source: Gazeti la Uhuru: Mei 28, 2012.
Hapo penye nyekundu panahusika, Je mmekosea kuandika jina? ulitaka kumwandika JK au JM.
Maana nahisi kama mtu anampigania Mr. wake vile, kama sio kweli amewashwa nini?.
Mh. Anaanza kuwa msemaji wa JK, au anamtega!
Anashindwa kusemea matatizo ya jimbo lake yaliyotajwa na Saint Ivuga
!

Hivi bado kuna Mkoa haujapata mkuu wake nini?.

Kama bado upo jibu liko wazi.
 
Siku zote ukiona mtu yupo majini anaogelea kimya baadeae akaanza kupiga kelele ujue maji yamemzidi na anakaribia kuzama.Ndio yanayomkuta mama william,anapiga kelele kwani tumesha mbana na hakuna wa kuja kumsaidia kwani kila mccm sasahiv anakufa kivyake.
 
Tunakosea tukisema kuwa ilikuwa ni lazima kila Mbunge aweke saini kwenye hoja ya ZITTO. Huo utakuwa ni mtazamo hasi kwani kila mtu alitafakari na kuona lipi sahihi. Tunasahau pia kuwa ile hoja haikuwa ya ZITTO bali ya TINDU LISSU ZITTO aliidandia tu kwa ajili ya kujijenga na kurudisha imani kwa viongozi wake wa CHADEMA, imani ambayo ilianza kuwatoka kutokana na kutangaza kwake nia ya kuwania urais 2015. Aidha Anne Kilango anao wajibu wa kutetea JK kutukanwa hajakosea, na sidhani kama ni busara kwa kiongozi wa nchi tena aliywekwa madarakani kwa mujibu wa Katiba ya nchi kutukanwa hadharani. Tutakuwa wa ajabu sana endapo hatutaheshimu mamlaka ambazo hata vitabu vitakatifu vinatuasa kuziheshimu. Maendeleo tunayolilia pengine hatuyapati kutokana na laana hizi ambazo zinachochewa na wanasiasa wenye uchu wa madaraka, ubinfsi na chuki binafsi.
Ni kweli haikuwa lazima kusaini maana ile ilikuwa wazalendo dhidi ya wahujumu nchi!
Hoja kuwa ya Tundu Lissu sio mbaya igelikuwa ya Makamba sawa!

Usitumie vitabu vitakatifu maana huvijui!
"Kama Dr. Slaa alivyomwacha dk. Jk atwale ni sawa na Daud alivyomwacha Saul aendelee kutawala japo alipata nafasi ya kummaliza mle pangoni"
Mamlaka ya Saul yalikuwa yameisha ndiyo maana alikuwa anapwaya kama yalivyo sasa!
 
  • Asisitiza damu kutomwagika 2015

  • Awwaonya wanaotoa lugha chafu dhidi ya JK

Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango amewashukia baadhi ya viongozi wa Chadema wanaojipitisha jimboni kwake na kutoa kauli za kuhatarisha amani iwapo hawatashinda katika uchaguzi wa Mwaka 2015.

Source: Gazeti la Uhuru: Mei 28, 2012.

Kati ya Wabunge weupe huyu mama ni mmoja wao. Huwa ni mpiga kelele na mropokaji asiyeeleweka anachokisimamia. Kwa muda mrefu amekuwa akiwaghilibu watu kuwa ni mpambanaji wa ufisadi lakini si kweli.

Alinikera kwenye mjadala bungeni wa kujadili muswada wa sheria ya mabadiliko ya Katiba. Wakati wabunge wazalendo wakiongozwa na Tundu Lisu wakitaka Wakuu wa Wilaya wasihusike katika usimamizi wa zoezi la ukusanyaji maoni kutokana na wao kuwa makada wa CCM na badala yake watumike Wakurugenzi wa Wilaya (DEOs) yeye alikuwa against. Mwisho wa siku Wabunge wazalendo walishindwa Wakuu wa Wilaya (ambao almost wote ni makada wa CCM) ndiyo kwa kushirikiana na na Wakurugenzi watasimamia midahalo, uratibu wa zoezi la kukusanya maoni na hata kutoa vibali vya asasi za kiraia zitakazotaka kuendesha makongamano/kutoa elimu kuhusu katiba. Kwa mbunge makini na mzalendo wa kweli hawezi kutetea hili.

Ni aina ya wabunge wasiokuwa na tija kwa wananchi. Mara nyingi hujifanya mwenye machungu na kutoa vilio bungeni kitumbua chake cha ubunge kinapotishiwa. Si mtu wa maslahi ya umma bali mnafiki fulani tu.
 
Huyu mama sasa anaonyesha rangi yake halisi. Hana lolote. Alijifanya mpinga ufisadi lakini sasa ni dhahiri mafisadi wamemuweka sawa anaweweseka asijue la kufanya. Shame on her!
 
Hiyo source ndio tatizo kubwa hapa.....kuliko huyo bi. Malecela.

Ajiandae kupumzika kama mzee Malecela, next election she's definately out. Asipogombea ndio heshima kwake, mwelezeni.
 
Huyu mama anaenda kwenye misiba kule upareni na kujikusanya na wamama wa kule na kuanza kulia nao ...huu ni ujinga ataliaa wee hapo na ujanja wake ni kupata huruma zao ila wameshamshtukia ...na ndio maana anajishtukia sasa hivi ..abaki zake huko huko mtera
hatuongelei mate picha zipo

b.JPG
 
- Wenzako wanajadili siasa, wewe umetumwa na agenda tofauti kabisa na maneno yako yanakushitaki, sikiliza kama haya maneno ni kweli basi waliokutuma wasingetakiwa kuishi kwa wasi wasi! ha! ha! ha!, kama haya yote ni kweli then kelele za nini, aliyekwambia ninatafuta u-DC ni nani huyo?

- Mmezoea uchawi sasa mmekutana na watu wasioamini uchawi mnahangaika, ha! ha! ha!, wewe mwenyewe hapo unasaidiwa vipi huna kwenu? ha! ha! ha!, sasa wanakupa wali wa bure ndio wanakutuma kuja kutukana watu humu, halafu akili yako ndogo sana unasema maneno yanayotokushitaki mwenyewe kwamba wamekutuma!

- By THE WAY, MKITOKA KWA WACHAWI WENU MSIKOSE KUPITIA KULE Super Malecela Blog kumekucha sana, moto wa kuotea mbaali ndio mtajibeba na nilikotokea! ha! ha! ha! ha!, kumbe sifa zangu zinawatesa, hapana sizitafuti zinakuja, nimefungua blog kabla hata haijaisha tayari watu 4200 kwa siku, mimi nafanya vitu vyangu sifa zinakuja!! ha! ha! ha! ha! ila kuimbilia kwenye mablog sasa mmefika mbali itawala wenyewe! ha! ha! ha! karibuni sana ila msikimbie!

William John Samwel Malecela. Le Big Shooow!!
Hakuna tena Shekh Yahya wa kuwatisha wagombe na kifo, sasa 2015 itakuwa gombani goli!
Labda ifanyike up-grade kwa Prof. Maji Marefu afikie level ya marehemu!
 
hivi ni yule aliyeoa mzee ili arithi mali?

Ndio huyo anaewakorofisha watoto wa Malecela kwa mkewe marehemu ili arithi mali za mzee kwa ushirika na huyu mtoto wa Malecela wa nje ya ndoa aitwae La Baharia!! Lakini wale mabinti wa yule mama wa kinyakyusa ni wasomi hawababaiki!!
 
- Wenzako wanajadili siasa, wewe umetumwa na agenda tofauti kabisa na maneno yako yanakushitaki, sikiliza kama haya maneno ni kweli basi waliokutuma wasingetakiwa kuishi kwa wasi wasi! ha! ha! ha!, kama haya yote ni kweli then kelele za nini, aliyekwambia ninatafuta u-DC ni nani huyo?

- Mmezoea uchawi sasa mmekutana na watu wasioamini uchawi mnahangaika, ha! ha! ha!, wewe mwenyewe hapo unasaidiwa vipi huna kwenu? ha! ha! ha!, sasa wanakupa wali wa bure ndio wanakutuma kuja kutukana watu humu, halafu akili yako ndogo sana unasema maneno yanayotokushitaki mwenyewe kwamba wamekutuma!

- By THE WAY, MKITOKA KWA WACHAWI WENU MSIKOSE KUPITIA KULE Super Malecela Blog kumekucha sana, moto wa kuotea mbaali ndio mtajibeba na nilikotokea! ha! ha! ha! ha!, kumbe sifa zangu zinawatesa, hapana sizitafuti zinakuja, nimefungua blog kabla hata haijaisha tayari watu 4200 kwa siku, mimi nafanya vitu vyangu sifa zinakuja!! ha! ha! ha! ha! ila kuimbilia kwenye mablog sasa mmefika mbali itawala wenyewe! ha! ha! ha! karibuni sana ila msikimbie!

William John Samwel Malecela. Le Big Shooow!!

Hongera Mheshimiwa Mbunge wetu wa EAL
 
Yaani William umefilisika kiakili kiasi hiki?
 
- Wenzako wanajadili siasa, wewe umetumwa na agenda tofauti kabisa na maneno yako yanakushitaki, sikiliza kama haya maneno ni kweli basi waliokutuma wasingetakiwa kuishi kwa wasi wasi! ha! ha! ha!, kama haya yote ni kweli then kelele za nini, aliyekwambia ninatafuta u-DC ni nani huyo? - Mmezoea uchawi sasa mmekutana na watu wasioamini uchawi mnahangaika, ha! ha! ha!, wewe mwenyewe hapo unasaidiwa vipi huna kwenu? ha! ha! ha!, sasa wanakupa wali wa bure ndio wanakutuma kuja kutukana watu humu, halafu akili yako ndogo sana unasema maneno yanayotokushitaki mwenyewe kwamba wamekutuma! - By THE WAY, MKITOKA KWA WACHAWI WENU MSIKOSE KUPITIA KULE Super Malecela Blog kumekucha sana, moto wa kuotea mbaali ndio mtajibeba na nilikotokea! ha! ha! ha! ha!, kumbe sifa zangu zinawatesa, hapana sizitafuti zinakuja, nimefungua blog kabla hata haijaisha tayari watu 4200 kwa siku, mimi nafanya vitu vyangu sifa zinakuja!! ha! ha! ha! ha!
HUU WIMBO AU NGONJERA?
 
- Wenzako wanajadili siasa, wewe umetumwa na agenda tofauti kabisa na maneno yako yanakushitaki, sikiliza kama haya maneno ni kweli basi waliokutuma wasingetakiwa kuishi kwa wasi wasi! ha! ha! ha!, kama haya yote ni kweli then kelele za nini, aliyekwambia ninatafuta u-DC ni nani huyo?

- Mmezoea uchawi sasa mmekutana na watu wasioamini uchawi mnahangaika, ha! ha! ha!, wewe mwenyewe hapo unasaidiwa vipi huna kwenu? ha! ha! ha!, sasa wanakupa wali wa bure ndio wanakutuma kuja kutukana watu humu, halafu akili yako ndogo sana unasema maneno yanayotokushitaki mwenyewe kwamba wamekutuma!

- By THE WAY, MKITOKA KWA WACHAWI WENU MSIKOSE KUPITIA KULE Super Malecela Blog kumekucha sana, moto wa kuotea mbaali ndio mtajibeba na nilikotokea! ha! ha! ha! ha!, kumbe sifa zangu zinawatesa, hapana sizitafuti zinakuja, nimefungua blog kabla hata haijaisha tayari watu 4200 kwa siku, mimi nafanya vitu vyangu sifa zinakuja!! ha! ha! ha! ha! ila kuimbilia kwenye mablog sasa mmefika mbali itawala wenyewe! ha! ha! ha! karibuni sana ila msikimbie!

William John Samwel Malecela. Le Big Shooow!!

Inanisikitisha kuona mtu mzima kama wewe unaweza kujibu ***** kama huu......inasikitisha sana. Kwani ungesoma tu nakupotezea kuna ubaya gani?kuliko kuiweka uchi familia yako kila mtu ajue kweli mna matatizo inahusu??? Next time tumia busara zaidi.
Nisiongee sana ila inaonekana umeamua kuwapa mipasho nduguzo maana unajua fika kuwa familia yako ni member humu na wanasoma......ila kumbuka kuna wengine sio nduguzo ila wanaijua familia yako vilivyo,sasa sijui ni kwanini uzidi kuwapa watu cha kuongea. Ni hayo tu.....ila daaah duniani tunajifunza mengi.
 
Hivi zile Tsh. 200,000,000/- alizotoa Jeethu Patel kwenye arusi ya Anne Kilango na John Samwel Malecela zilikuwa mchango au mkopo? Ana mengi ya kutueleza huyu mama. Najua anasumbuliwa na kihoro cha ndoto yake ya kuwa first lady kuyeyuka kama barafu juani.

hujakosea hizo sifuri kweli mbona ni faranga nyingi hizo. au JPatel alikuwa anatega kwa kuamini Samweli angetwaa nchi hii?
 
- Wacha hizo mimi nipo mitandaoni hata kabla hajaingia popote, wacha hizo sitaki kugusa mjadala wenu kwa sababu kwangu ni irelelvant, last time mlisema haya haya akawashinda, kama kawaida mmeanza tena sio worthy ila kwa wasiojua, nilitaka tu kumjibu huyu mtu aliyetumwa hapo juu, lakini sina shida na huu mjadala huwa ninashikiri mijadala serious sio kama huu!

William.
Mkuu William, ulijuaje kama ametumwa na sio mawazo yake!
 
Back
Top Bottom