Anne Kilango ajitangaza kuwa 'mbunge wa maisha' wa Same Mashariki

Huyu bibi hajui kusoma alama za nyakati, kielelezo cha yeye kutokukubalika ni pale yeye na mumewe walipotaka kumpandikiza mwanae wa kambo kuwa mbunge wa Afrika ya Mashsriki na wakaambulia patupu na yeye sasa ataambulia patupu kwenye kinyang'anyiro cha uenyekiti wa UWT anaounyemelea ili apate ubunge wa che kwa msaada wa bibi Kiroboto; hii anafanya baada ya kujua kuwa wapare wamemstukia na kuapa kuwa 2015 hawampi kura!!!!!!
 
Naomba mtaalamu kamanda wetu Crushwise aitafute picha ya Gaddafi akiwa hai ampelekee Kilango na pindi akikuuliza ya nini mwambie umetokewa na malaika wake akikusisitizia hiyo picha lazima apewe yeye kwa hapa Tz.
 
Amlete hata mwanae lemutuz, haitamsaidia lazima aende.....
akumbuke mzee John malecela mbunge wa Mtera zaidi ya miaka 20 lakini alingoka mwenyewe. nadhani mwaka 2015 jimbo litachukuliwa na CDM
 
huyu mama anaumwa mimba huyu same hajafanya lolote halafu anafikiri atakuwa pale maisha yote ..anachukulia umbumbumbu wa wana same kuwa mtaje wake kisiasa
 
Kwa akili za watu wa kule labda inaweza kuwa kweli manake hata mimi huwa sina imani nao wengi wao wapo kijani na ni wafuasi sugu
 
ccm wakicheza wanaweza wasiwe na mbunge hata mmoja kutoka kaskazini...

Well stated, chesea wapiga kura weye? Tena kura ya siri!! Any way mwache ajipe matumaini, manake kisaikologia mtu anapokaribia kufa huwa anabishana na hapendi kabisa kusikia habari za kifo. Huyu mama anaelewa kuwa mwisho wake haupo mbali, so anaamua kujipa matumaini...
 
Katika gazeti la Jambo Leo Mh. Anna Kilango amedai CDM hawawezi kuchukua jimbo akiwa bado hai.kwa maana nyingine yeye ni Mbunge wa Maisha wa Same Mashariki!!

Mama Kilango anajiamini nini wakati hakuna cha maendeleo alichofanya ktk jimbo lake la uchaguzi?

Ukiona mtu anaongea hivyo ujue kesha tathmini ujinga wa watu waliomchagua na ameridhika kuwa unatosha kuwafanya wasione alternative choice
 
Katika gazeti la Jambo Leo Mh. Anna Kilango amedai CDM hawawezi kuchukua jimbo akiwa bado hai.kwa maana nyingine yeye ni Mbunge wa Maisha wa Same Mashariki!!

Mama Kilango anajiamini nini wakati hakuna cha maendeleo alichofanya ktk jimbo lake la uchaguzi?

Huyo utaalamu wake ni zomea zomea na vijembe kwa lenye maana na hata la kipuuzi; utambuzi wa kimbunga kinachomsogelea hana, mwacheni aendelee kuota, William na John watamsaidia kupiga nduru yatakapomfika! kalabagaho!!
 
Haya ni matusi kwa wanasame yaani katika jimbo lake amefanya uchunguzi na kungunduwa kuwa katika jimbo lote hakuna mwenye uwezo wa kuo ngoza isipokuwa ni yeye tu na waliobaki uwezo wao umeishia kumpigia kura tu?.
 
Dawa ya Kilango ni kupigwa chini 2015 aende kwa mumewe wakatafute mtoto. Maana tokea wafunge ndoa sijasikia amebeba mimba.

I don't think she can bear a baby at that age, she has already passed menopause. But they can still opt to adpot
kid(s)
 
si amezoea kushika ubunge kwa nguvu za kuganga na kujiamini. Mungu yupo vitaisha siku moja.
 
Ni baada ya kushindwa kutimiza ahadi yake ya kufungua kiwanda ambacho awali alikitumia kama mtaji wa kupata ubunge mwaka 2005 na 2010.Kilango alikaririwa mara zote akiwaahidi wananchi wake neema kwa kuwezesha zao la tangawizi kuuzwa kwa shs 2500 ktk msimu huu wa mavuno hali iliyosababisha wananchi kuuza mifugo yao kwa lengo la kuongeza mitaji yao yakilimo lakini katika hali isiyo ya kawaida, kiwanda hadi leo hakijafunguliwa nahivyo wakulima wanalazimika kuuza kwaa bei ya shs 400 tofauti na ilivyokua matarajio yao.

Bundi wa anguko la kilango anaendelea kulia usiku na mchana kwani mbunge huyo amekuwa akizomewa katika mikutano mingi anayofanya jimboni kwake.Aidha katika hali ya kustajabisha mbunge huyo amesusiwa karamu aliyowaandalia wapiga kura wake wa kata ya Ndungu pamoja na jitihada nyingi zilizo tumika katika kutangazia walioshiriki hawakuzidi 20.

Hata hivyo Kilango alianza kusakamwa na kutoaminika jimboni kwake baada ya kugundulika kwamba aliazima vinu vya kukobolea mpunga na kuvionesha kana kwamba ni vinu ambavyo vingefungwa katika mitambo ya kiwanda.Inaaminika pia kwamba vinu hivyo aliviazima kwa siri toka kwa mfanyabiashara mmoja kwaani mara tu baada ya mbunge huyo kushinda alirudisha vinu hivyo kwa mhusika.:director: hakika umefulia.
 
No comment kwa kweli..ngoja watu wa same waje ili watujuze ukweli.
 
Inabidi mtoto wake wa kambo atangaze nia ya kugombea huko, kwani kila jimbo analiona lake, mtera kwake, kigamboni kwake, segerea ndio usiseme...
 
Ni baada ya kushindwa kutimiza ahadi yake ya kufungua kiwanda ambacho awali alikitumia kama mtaji wa kupata ubunge mwaka 2005 na 2010.Kilango alikaririwa mara zote akiwaahidi wananchi wake neema kwa kuwezesha zao la tangawizi kuuzwa kwa shs 2500 ktk msimu huu wa mavuno hali iliyosababisha wananchi kuuza mifugo yao kwa lengo la kuongeza mitaji yao yakilimo lakini katika hali isiyo ya kawaida, kiwanda hadi leo hakijafunguliwa nahivyo wakulima wanalazimika kuuza kwaa bei ya shs 400 tofauti na ilivyokua matarajio yao.

Bundi wa anguko la kilango anaendelea kulia usiku na mchana kwani mbunge huyo amekuwa akizomewa katika mikutano mingi anayofanya jimboni kwake.Aidha katika hali ya kustajabisha mbunge huyo amesusiwa karamu aliyowaandalia wapiga kura wake wa kata ya Ndungu pamoja na jitihada nyingi zilizo tumika katika kutangazia walioshiriki hawakuzidi 20.

Hata hivyo Kilango alianza kusakamwa na kutoaminika jimboni kwake baada ya kugundulika kwamba aliazima vinu vya kukobolea mpunga na kuvionesha kana kwamba ni vinu ambavyo vingefungwa katika mitambo ya kiwanda.Inaaminika pia kwamba vinu hivyo aliviazima kwa siri toka kwa mfanyabiashara mmoja kwaani mara tu baada ya mbunge huyo kushinda alirudisha vinu hivyo kwa mhusika.:director: hakika umefulia.

oakwilini,
utapeli wa mama kilango tulishauleta jamii forums lakini watu hawakutuamini. yale makelele aliyokuwa anapiga kuhusu ufisadi sasa yamekwisha na imejulikana kwamba alikuwa anatafuta uwaziri tu. angalia uzi huu hapa ambao tuliwatahadharisha wananchi toka zamani kwamba mama kilango ni "debe tupu."

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-wa-tanzania-mpaka-vilaza-wa-kilimanjaro.html
 
Back
Top Bottom