Anne Kilango achukua fomu ya kuwania spika wa bunge

Mkuu safari ni safari,wabunge siyo machifu kwamba lazima awe wa kabila la eneo analowakilisha. ndiyo maana Joseph Mbilinyi (mkinga) ni mbunge wa mbeya mjini kwa wasafwa!
======

Kweli kabisa. Hata Rage ni Msomali lakini yuko Tabora.
 
Sio lazima kila mtu achaguliwe, kama kila mtu anataka kuwa kiongozi na kuchaguliwa nani ataongozwa? Ndiyo maana wengine hatutaki uongozi, ila hili halimaanishi tunapoona mtu asiye na uwezo anataka kugombea cheo tusiseme. Tutasema tu, ndiyo demokrasia. Hatuwezi kumzuia kugombea, ila tutasema kwamba hafai. Na anaweza hata kuchaguliwa, lakini kesho keshokutwa akichemsha tutasema tuliwaambia, kama tulivyosema Kikwete muuza sura tukaonekana tunampakazia, leo hii ni public knowledge.

Hakuna aliyekataa kwamba ana haki ya kugombea, hata Matonya ana haki ya kugombea urais, lakini hii haina maana akitaka kugombea urais tusiseme kwamba hana uwezo wa kuongoza.

Si lazima kuwa na mawazo na kipaji cha kumshinda mtu ili kuona kwamba hana uwezo. Si lazima kujua jibu la swali ili kujua kwamba jibu alilotoa mtu si sahihi, naweza kuwa sijui square root ya mbili ni nini exactly, lakini mtu akiulizwa square root ya mbili akajibu kumi, ntajua kakosa, kwa sababu haendi hata kwenye the right direction (<2).

Kwa hiyo ondoa dhana kwamba kumkosoa mtu ni kujua majibu , si lazima iwe hivyo.

Haki ya kidemokrasia hiyo hiyo inayomruhusu huyu mama kugombea nafasi hizi ndiyo hiyo hiyo inayotupa uhuru wa kumsema kwamba hafai.

Hakuna aliye

- Haki ya kutoa maoni kuhusu viongozi wetu kugombea nafasi za uongozi wa taifa ni ya kila mwananchi, isipokuwa nilifikiri Great Thinkers wanatakiwa kujadili kwa FACTS ili kuonyesha tofauti yao na wananchi wa kawaida, au?

William.
 
William,

You have family connection to this madam
, therefore, truth be told, you could never be objective on this matter.

- How? Halafu hiii sheria ya JF au what? Kwamba ukifanana jina na kiongozi basi hutakiwi kushirki kwenye majadliano yanayomuhusu? Unasema hii sheria ya JF?

William
 
Hilarious,

Basically unakubali kwamba bunge linalokuja litakuwa challenging zaidi na linahitaji Spika makini zaidi, unakubali Mama Kilango ni emotional na ana mapepe, halafu mysteriously without rhyme or reason una conclude tu mama ataacha mapepe, kama sijui mama ni mtoto ana miaka minne na ana muda wa kuwa adolescent tena.

Hilarious, pengo la ukubwani halina kuota jino, and you can quote that from me.

- Mna maana Dr. Slaa hawezi kuwa Rais kwa sababu anakuwa very emotional na mafisadi, au kwa sababu ni mapepe kwa kusingiziwa ishus za mke wa mtu? Hizi ndio FACTS za kutofaa kuwa Spika wa bunge la Tanzania?

- Mnasema bunge linahitaji mtu makini hii ndio dhana ya kuwa a good Spika, kuwa makini? Eti nini maana ya makini ya Spika, kwa uelewa wenu wakuu?

William.
 
- How? Halafu hiii sheria ya JF au what? Kwamba ukifanana jina na kiongozi basi hutakiwi kushirki kwenye majadliano yanayomuhusu? Unasema hii sheria ya JF?

William

Hahaha, this brother is off the charts, of the wall I am telling you.

You are asking me how/ Wewe William Malecela unaniuliza una uhusiano vipi na mama yako wa kambo leo? Yaani vi thread vya JF vinakufanya uikane familia yako ili kuwin brownie points za JF?

Wewe huyu mama si mama yako wa kambo huyu? Huyu si mke wa Malecela? Wewe si William Malecela? Kweli unaweza kuwa objective katika hili swala? Naona unaanza kutuzuga na "How" katika jambo dogo kama la kukubali kwamba kweli huyu mama ni mama yangu, sasa tutegemee utuambie ukweli katika mambo complex kama ya uwezo wake wa kuongoza nchi?

Au unataka kutuambia huna uhusiano pia na mume wake Mzee John Malecela?

Kwa hiyo wewe William Malecela unaposema

Halafu hiii sheria ya JF au what? Kwamba ukifanana jina na kiongozi basi hutakiwi kushirki kwenye majadliano yanayomuhusu? Unasema hii sheria ya JF?

Una maana ya kwamba John Malecela huna undugu naye, mnafanana majina tu, siyo? Unamkataa baba yako kwa brownie points za JF, hata baada ya kuweka jina na picha yako hapa?

Mambo ya aibu, sikujua kama utakuja kufikia hii low point maishani, Mzee huyu kakukosea nini William ?
 
1. Nani kamkataza nani kuchukua fomu? Siye miye niliyesema mama ana haki ya kugombea cheo kama Matonya alivyo na haki ya kugombea urais, lakini the fact kwamba Matonya ana haki ya kugombea urais haimfanyi kuwa anafaa kuwa rais? Umeniona kuandamana kufunga njia mama asichukue fomu? Nimeweka pingamizi sehemu yoyote asichukue fomu?

2.Kusemekana ndiyo basis ya forum, tuna discuss validity ya uwezo wake, kuna watu mpaka wa familia yake wamechangia thread, hawajakanusha, wanamtetea mama ana uwezo, sasa kama mimi naona hana uwezo kwa nini nisiseme?

3. Demokrasia ina mipaka yake, lakini mipaka hii hainifungi nisizungumze nani anafaa kuwa spika na nani hafai.Mind you, sijataka kuingia mjengoni nikapige kura ya kumkataa au kumkubali mtu kuwa spika, sina privilege wala muda huo.Point yako ya kwamba sina haki ya kumchagua Spika ingekuwa valid kama ningekuwa nataka kumchagua Spika, mimi sitaki kumchagua Spika, sifungi safari Dodoma, natoa maoni yangu tu. Tuna wabunge wengi sana wanaoingia hapa kila siku, wanaweza kuona maoni yangu yakawasaidia kuamua, si ndiyo maana ya "representative democracy" hiyo? Kwamba badala ya sote milioni 40 kwenda Dodoma, tunawatuma wabunge mia chache waende kutuwakilisha, tunawapa mawazo yetu wayafikishe kama wakiona sawa, na mimi natoa mawazo yangu, sasa kibaya kipi hapo?

Au Tanzania siku hizi wananchi hawaruhusiwi kutoa maoni yao kuhusu uongozi wa juu wa nchi?
Mimi nilifikiri hii ni haki ya kikatiba na ushirikishwaji wa umma maana yake wananchi wasiwaachie wabunge maamuzi yote, bali kuwe na ushirikiano, sasa wewe unasema tuwaachie wabunge wafanye kila kitu hiyo ni "representative democracy" kweli ?

- Kwa hiyo kama ninakuelewa ni kamba Mama Kilango hafai kwa sababu ni haki yako kutoa maoni, sio kwamba una facts well kwa kutumia haki yangu ya kutoa maoni kama mwananchi, ninasema anafaa sana maana kama katika Miaka mitano iliyopita ameweza kuiendesha kamati ya bunge ya maadili na nidhamu, bila malalamiko wala kuharibu ni kipimo tosha cha kumfanya akauweza USpika,

- Labda mtuambie toka tupate uhuru ni Spika yupi aliwahi kuwa anafaa sana kwamba tunaweza kutumia mifano ya uongozi wake na kuonyesha kwamba huuyu Mama hana na ndio maana hafai, othersiwee yanakuwa majungu majungu ya mitaani tunayahamishia huku JF, maana Great Thinkers ninaamini wanatakiwa kujadili ishus kwa facts, kuliko kutumia haki za kutoa maoni tu kama huko mitaaani mitaani bila facts
!

- Maana kama ilivyo haki yako kusema hafai, pia ni haki yangu kusema anafaa, isipokuwa kwa vile hapa ni uwanja wa Great Thinkers nilifikiri tunatakiwa kwenda deep zaidi na kutoa FACTS, au?

William.
 
- Haki ya kutoa maoni kuhusu viongozi wetu kugombea nafasi za uongozi wa taifa ni ya kila mwananchi, isipokuwa nilifikiri Great Thinkers wanatakiwa kujadili kwa FACTS ili kuonyesha tofauti yao na wananchi wa kawaida, au?

William.

Fact namba moja, wewe, kwa family connection yako una conflict of interest na huwezi kutupa an unbiased point of view kuhusu huyu mama. Unaibishia hii family connection?

Huwezi kumpa kesi ya Salma Kikwete Ridhiwani Kikwete awe Jaji, hata mahakamani Jaji ataomba udhuru kesi hiyo iamuliwe na majaji wengine kutokana na family connection yake.
 
- Kwa hiyo kama ninakuelewa ni kamba Mama Kilango hafai kwa sababu ni haki yako kutoa maoni, sio kwamba una facts well kwa kutumia haki yangu ya kutoa maoni kama mwananchi, ninasema anafaa sana maana kama katika Miaka mitano iliyopita ameweza kuiendesha kamati ya bunge ya maadili na nidhamu, bila malalamiko wala kuharibu ni kipimo tosha cha kumfanya akauweza USpika,

- Labda mtuambie toka tupate uhuru ni Spika yupi aliwahi kuwa anafaa sana kwamba tunaweza kutumia mifano ya uongozi wake na kuonyesha kwamba huuyu Mama hana na ndio maana hafai, othersiwee yanakuwa majungu majungu ya mitaani tunayahamishia huku JF, maana Great Thinkers ninaamini wanatakiwa kujadili ishus kwa facts, kuliko kutumia haki za kutoa maoni tu kama huko mitaaani mitaani bila facts
!

- Maana kama ilivyo haki yako kusema hafai, pia ni haki yangu kusema anafaa, isipokuwa kwa vile hapa ni uwanja wa Great Thinkers nilifikiri tunatakiwa kwenda deep zaidi na kutoa FACTS, au?

William.

Huyu mama hafai hata kufunga kamba za viatu vya Karimjee au Adam Sapi Mkwawa, sembuse kuwa mrithi wao katika kiti hiki.
 
Hahaha, this brother is off the charts, of the wall I am telling you.

You are asking me how/ Wewe William Malecela unaniuliza una uhusiano vipi na mama yako wa kambo leo? Yaani vi thread vya JF vinakufanya uikane familia yako ili kuwin brownie points za JF?

Wewe huyu mama si mama yako wa kambo huyu? Huyu si mke wa Malecela? Wewe si William Malecela? Kweli unaweza kuwa objective katika hili swala? Naona unaanza kutuzuga na "How" katika jambo dogo kama la kukubali kwamba kweli huyu mama ni mama yangu, sasa tutegemee utuambie ukweli katika mambo complex kama ya uwezo wake wa kuongoza nchi?

Au unataka kutuambia huna uhusiano pia na mume wake Mzee John Malecela?

Kwa hiyo wewe William Malecela unaposema

Una maana ya kwamba John Malecela huna undugu naye, mnafanana majina tu, siyo? Unamkataa baba yako kwa brownie points za JF, hata baada ya kuweka jina na picha yako hapa?

Mambo ya aibu, sikujua kama utakuja kufikia hii low point maishani, Mzee huyu kakukosea nini William ?

- SWali langu ni kwamba unayosema ni sheria ya JF au ya jamhuri kwamba ukiwa na jina sawa na kiongozi, au akiwa na uhusiano naye hutakiwi kutoa maoni yako on uongozi wake? Again ni sherian ya JF au Jamhuri inayokataza mtu mwenye uhusiano au jina sawa na kiongozi kuto toa maoni yake on uongozi wake ni sheria ya JF au Jamhuri? Au ni yako wewe?

- Unasema maneno mengi ambayo hayahusu kwa mutmzima kama wewe sikutegemea kabisa, nilidhani utatoa FACTS za kwa nini una maoni ya Mama Kilango kutofaa, badala yake umegeuza mjadala kwua personal na maneno mengi yasiyohusu, a Great Thinker? Inasikitisha sana!

William.
 
Fact namba moja, wewe, kwa family connection yako una conflict of interest na huwezi kutupa an unbiased point of view kuhusu huyu mama. Unaibishia hii family connection?

Huwezi kumpa kesi ya Salma Kikwete Ridhiwani Kikwete awe Jaji, hata mahakamani Jaji ataomba udhuru kesi hiyo iamuliwe na majaji wengine kutokana na family connection yake.

- Hivi kumbe Mama Salma Kikwete ni jaji wa mahakama Tanzania? Halafu Ridhiwani ana kesi ambayo huwezi kumpelekea Jaji Mama Salma ndio maana Mama Kilango hafai kuwa Spika? Hivi ninasoma haya sawa sawa katika uwanja wa Great Thinkers?

William.
 
- Labda ungeanza kwanza ku-explain kwenye jimbo la Chief Mkwawa RIP Spika wa kwanza aliacha nini, Spika Mangenya RIP aliacha nini kwenye jimbo lake, halafu Spika Shaba RIP aliacha nini kwenye jimbo lake, Spika Msekwa amepeleka nini kwenye jimbo lake, na Spika Sitta amepeleka nini kwenye jimbo lake,

- Ninasema hivyo nikiamini kwamba nimekuelewa kuwa mgombea U-Spika lazima awe amepeleka something jimboni kwake, as a number one qualification ya kuwa Spika mzuri.

William.

Kwa red kaka tafadhari sana SITTA kajenga jumba la BUNGE kwao..sasa sijui Bunge linahamia huko au? wananchi wa huko wataeat JENGO na kustudy jengo kama vipi...please muache SITTTA kama alivyo...mie namjua kidogo anne KILANGO, she is mmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhh, namfaham kabla hata hajaolewa na MALECELA lkn sio SAFI hata kidogo...MUULIZE AMINA CHIFUPA kama ukionana nae..RIP our sister....aweza kuwa mwema kwenu ila kwangu noooooooooooooooooo she is out f clean jamani.....Kama ulishakuwa Teja once in your life you cana ask yourself who is she?..if not don't even try to know her, she will suck you, beleive me hommie...If you never bein in all what I mentioned, muulize MPAKANJIA pia if you will luckly have to meet him, RIP hommie...kama hutomeet these all kaa kimya...
 
Huyu mama hafai hata kufunga kamba za viatu vya Karimjee au Adam Sapi Mkwawa, sembuse kuwa mrithi wao katika kiti hiki.

- Mama kilango hafai kuwa Spika kwa vile hawezi hata kufunga kamba za viatu vya Karimjee na Adam Sapi, ndio maana unatumia haki ya kutoa maoni yako kusema kwamba hafai kuwa Spika kwa hizi sababu?

William.
 
Mimi nimeingia hapa Jamii Forums na mategemeo makubwa lakini mwisho wake naona kuna Personal Vendeta sana!

Naomba msini dissapoint siku ya kwanza
 
Ni wakati umefika kwa watanzania na hasa wabunge kuelewa kwamba ushabiki wa siasa ndio umetufikisha hapa... Anne Kilango HAFAI kabisa kuwa spika wala kuwaza uspika, yeye ni vuvuzela and she doesnt practice what she preaches... alipokea pesa toka kwa guruu mmoja na bado akwaanamlipua mitaani, she too emotional na nadhani kwa level ya elimu atastruggle kuchnganua

tunataka spika mwenye upeo wa juu, sio vigelegele na ushabiki... Anne hafiti kabisa

In short let alone kugombea uspika, hastahili kuwepo kwenye baraza la mawaziri, ni watu kama hawa ndio wanaomtesa mkwere kwenye performance yake

KWA SASA YATOSHA
 
Kwa red kaka tafadhari sana SITTA kajenga jumba la BUNGE kwao..sasa sijui Bunge linahamia huko au? wananchi wa huko wataeat JENGO na kustudy jengo kama vipi...please muache SITTTA kama alivyo...mie namjua kidogo anne KILANGO, she is mmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhh, namfaham kabla hata hajaolewa na MALECELA lkn sio SAFI hata kidogo...MUULIZE AMINA CHIFUPA kama ukionana nae..RIP our sister....aweza kuwa mwema kwenu ila kwangu noooooooooooooooooo she is out f clean jamani.....Kama ulishakuwa Teja once in your life you cana ask yourself who is she?..if not don't even try to know her, she will suck you, beleive me hommie...If you never bein in all what I mentioned, muulize MPAKANJIA pia if you will luckly have to meet him, RIP hommie...kama hutomeet these all kaa kimya...

- Jamani hivi kweli this is coming from a Great Thinker? Hizi ndio sababu za Mama Kilango, mbunge wa Same East, kutofaa kuwa Spika? Hizi ndio FACTS? Yaani as if tuko vilabu vya pombe kule Saigon!

William.
 
kwa red kaka tafadhari sana sitta kajenga jumba la bunge kwao..sasa sijui bunge linahamia huko au? Wananchi wa huko wataeat jengo na kustudy jengo kama vipi...please muache sittta kama alivyo...mie namjua kidogo anne kilango, she is mmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhh, namfaham kabla hata hajaolewa na malecela lkn sio safi hata kidogo...muulize amina chifupa kama ukionana nae..rip our sister....aweza kuwa mwema kwenu ila kwangu noooooooooooooooooo she is out f clean jamani.....kama ulishakuwa teja once in your life you cana ask yourself who is she?..if not don't even try to know her, she will suck you, beleive me hommie...if you never bein in all what i mentioned, muulize mpakanjia pia if you will luckly have to meet him, rip hommie...kama hutomeet these all kaa kimya...
kama sio sitta, watu kama malechela hadi leo wangekua wabunge, sitta allowed the bunge to float na ndio maana aliwatisha akina mamvi na ra

mtu asiyeelewa role ya sitta kwa tulipofika, ni bora arudi la tano akasome uraia
 
Back
Top Bottom