Aneth Msuya ambaye ni dada wa bilionea Erasto Msuya auawa kinyama Dar

Naishi hapa kigamboni lakini cha ajabu ndio naisikia hii habari leo.. Dah pumzika kwa Amani mteja wangu.. Hii inanikumbusha Yule Dada Wa Takukuru aliyeuawa na mfanyakazi mwenzie kwa ushamba wa kulingishiana Bastola..
 
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un (Arabic:إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ‎‎) is a part of a verse from the Qur'anwhich translates to "We surely belong to Allah and to Him we shall return." [n 1][1]The phrase is recited by Muslims when a person experiences a tragedy in life,[2][3]especially upon hearing news that a person has died.[3]The phrase may also be recited in situations that involve risk of any sort.

Read more: Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un - Wikipedia, the free encyclopedia
sisi ni waja wa mwenyezi Mungu, na kwake Tutarejea
 
Kuna wakati huwa nawaza nafika mbali mno. Matumbo yetu wanawake yanabeba viumbe vyenye tabia za kila aina. Laiti Mungu angetupa neema ya kujua hatima ya mtoto aliyeko tumboni kabla hajazaliwa. Tungekua tunajua kuwa mimba uliyobeba utakuja kuzaa muuaji au jambazi la kuisumbua dunia nadhani wanawake wengi wangezitoa hizo mimba. Tunawaza mpaka tunaweza tukakufuru
Kuna Wakati huwa nafikiri Mungu alikosea sana kumuumba binadamu
 
Sasa kama kesi ya kaka yake mpake leo tangu 2013 hakuna jipya,.hii yake ya Juzi si ndio hadi wajukuu wanazeeka.
Aiseee
Sidhani kama issue ya braza wake inahusika, ila polisi watawakamata tu wahusika, mi na waswasi na mambo ya mapenzi, RIP ANETH, SO SAD INEED
 
Mkuu hao wahuni akina ally hawana akili... Si ndio walimuua Erasto alafu wakakimbilia simu yake na kufuta namba walizofanya nae mawasiliano kumwita kule KIA bila ya kujua kama namba zao zitabaki kwenye database ya mtandao.. Na huyu dada walimwambia kabisa tukitoka utatutambua na Ally alivyotoka mwaka jana au juzi kama sikosei ndio haya tunayaona aliyoahidi..
Kwani wale jamaa waliomuaa erasto , si bado wako ndani ?
 
Dah aisee Mungu amlaze mahali pema peponi
Haiwezekani kifo cha hivi kisitokane na matendo ya marehemu mwenyewe. Tuishi kwa kutenda mema ama sivyo tutaishia kupotezwa kama kuku. Mungu amuweke anakostaili
 
Hivi wauaji huwa hawajui kuwa ipo siku nao watakufa?
Ikiwa ni kisasi ukiua ndio umempa funzo gani?
Si umpige hadi hasira ziishe umwachie uhai?
Mbaya sana

Wakati mimi siwezi kuona kuku anachinjwa, kuna binadam mwenzangu tena Mtanzania anaweza kukamata kisu na kumchinjwa binadam mwenzie tena mdada mrembo kama huyu!!Najiuliza tu mwenyewe kwa sauti IVI KOSA LIPI KUBWA SANA ALILOLIFANYA DADA HUYU MPAKA KUSTAHILI ADHABU HII KUBWA NA YA KIKATILI? Jamani huyu muuaji kashindwa hata tu kumbaka? Kweli naamini ndugu shetani yuko kazini.

Pumzika kwa Amani dada Annete
 
Mkuu tatizo watakaofungwa ni watumwaji ila waliocheza dili nje wako mtaani... Huyu Ally alivyotoka ndio tunashangaa na wote tunajua alikuwa ndiye mwenye kisasi na Erasto..

Tatizo la Erasto nae biashara zake zilikuwa na kidhulumati tofauti na matajiri wengine wa mawe.. Hata Chusa alikamatwa mwanzo kwa ule mgogoro wao wa mitomobazo kule migodini.. Ila baadae ikaonekana walishakaa wakamaliza tofaui zao..
Mkuu hiyo avatari yako nimeichunguza weeeeeeeee, nikaunganisha na jina unalotumia, finally nimepata jawabu. Asante sana kwa kunipa homework otherwise, i was workless.
 
Nilipo post hii thread baada ya muda nilipigwa Ban!!! Kwa takribani masaa kadhaa... Mkuu Maxime unaweza liongelea hili?! Hasa kwa usumbufu mlionisababishia?! Mlihisi nilipost udaku?! Hata kama ingalikuwa udaku mlipaswa kuniambia sababu ya my being banned.. Mambo yasiende kienyeji enyeji hivi..

Kwa mwendo huu tutaidhoofisha JF maana sisi ndio watafuta habari na kulifanya jukwaa active and alive! Tutakosa morale ya kuhabarishana. Not fair my fellow intellectuals! Good afternoon!
 
Nilipo post hii thread baada ya muda nilipigwa Ban!!! Kwa takribani masaa kadhaa... Mkuu Maxime unaweza liongelea hili?! Hasa kwa usumbufu mlionisababishia?! Mlihisi nilipost udaku?! Hata kama ingalikuwa udaku mlipaswa kuniambia sababu ya my being banned.. Mambo yasiende kienyeji enyeji hivi..

Kwa mwendo huu tutaidhoofisha JF maana sisi ndio watafuta habari na kulifanya jukwaa active and alive! Tutakosa morale ya kuhabarishana. Not fair my fellow intellectuals! Good afternoon!

Pole mkuu
 
Una uhakika kuwa waliomuua kaka yake ndiyo waliyomuua Aneth?

Stop making conclusion by basing on assumptions..
What does the word ASSUMING mean to you...!!! Where did I confirm kua ndio waliomuua..!!! acha kukurupuka
 
Uongo huo,
Tulieni soon taarifa tutaipata hapo Mimi nachokijua sijaconferm ningeshakiweka hapa.
Cha msingi mkumbuke erasto mashine alikuwa ni nyamera.
Kuna jamaa anaitwa Wambura natafuta report yake ya muda mfupi.
Nyamera tena
 
Back
Top Bottom