Anna Tibaijuka ameishia wapi na harakati za kurejesha maeneo yaliyoporwa?

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
6,376
6,720
Kwa wanaokumbuka gea kubwa aliyoingia nayo waziri wa Ardhi maendeleo na makazi profesa Anna Tibaijuka wanajiuliza: je ilikuwa ni nguvu ya soda au amezimwa na mafisadi kama siyo bosi wake? Maana siku hizi hasikiki akitoa taarifa ya viwanja alivyorejesha au kuamuru virejeshwe. Je amekatiwa chake akaamua kuuchuna au ametishwa na washirika wa bosi wake? Kweli Tanzania ni nchi ya sanaa. Leo tunaye anayewika Dk Harrison Mwakyembe. Kesho utasikia kanywea hafurukuti kama rafiki yake Samuel Sitta waliyeungana kusaliti ukombozi wa taifa kwa tamaa ya vyeo uchwara. Je nini kimemsibu Anna Tibaijuka?
 
Anasubiri Nape ampandishe majukwaani yeye na magufuli waanze kujitapa jinsi serikali inavyochapa mzigo Kama walivyo mharibia Dr kafumu wa Igunga kupitia daraja la mbutu
 
The problem is not Tibaijuka. The problem is the president. Waziri huwezi kufanya kitu ambacho rais hakuungi mkono.
Haiwezekani.
 
Wewe unaweza kuthubutu kunyang'anya maeneo yaliyoporwa na bosi wako? Tiba Kwishney, na heshima yake imeshuka pia.
 
Hata aje nani kwenye serikali hii ni atakuwa amepoteza dira yake si mmeona mzee lipumba na katibu wake tangu wamefunga ndoa elimu yao yote imepotea imebaki kuropoka kama majuha ......
tibaijuka na wengine wote kina muhogo na yule waporini wote ni wale wale hawatakuwa na jipya mpaka jk na ccm yao ifie mbali.....hata hao vijana ni sawa na kina masha na ngeleja ....wewe angalia hata michango mingi inayoanzishwa humu ni ya kijinga kiccm tu....
 
Yuko peke yake, hana support yoyote ndani ya mfumo unaopaswa kufumuliwa.
 
Kwa wanaokumbuka gea kubwa aliyoingia nayo waziri wa Ardhi maendeleo na makazi profesa Anna Tibaijuka wanajiuliza: je ilikuwa ni nguvu ya soda au amezimwa na mafisadi kama siyo bosi wake? Maana siku hizi hasikiki akitoa taarifa ya viwanja alivyorejesha au kuamuru virejeshwe. Je amekatiwa chake akaamua kuuchuna au ametishwa na washirika wa bosi wake? Kweli Tanzania ni nchi ya sanaa. Leo tunaye anayewika Dk Harrison Mwakyembe. Kesho utasikia kanywea hafurukuti kama rafiki yake Samuel Sitta waliyeungana kusaliti ukombozi wa taifa kwa tamaa ya vyeo uchwara. Je nini kimemsibu Anna Tibaijuka?

Unafanya mchezo na magamba
 
Tatizo ni mfumo, kila mara wanatuimbia lakini tunajifanya hatuelewi, wimbo wao ni huu, "...CCM imechukuwa imeweka waaah...." Kama wamechukuwa Tibaijuka alikuwa anataka kuogelea wakati hajui kina cha maji! Amegundua ni kina kirefu ameamua kuingia mitini.
 
Kwa wanaokumbuka gea kubwa aliyoingia nayo waziri wa Ardhi maendeleo na makazi profesa Anna Tibaijuka wanajiuliza: je ilikuwa ni nguvu ya soda au amezimwa na mafisadi kama siyo bosi wake? Maana siku hizi hasikiki akitoa taarifa ya viwanja alivyorejesha au kuamuru virejeshwe. Je amekatiwa chake akaamua kuuchuna au ametishwa na washirika wa bosi wake? Kweli Tanzania ni nchi ya sanaa. Leo tunaye anayewika Dk Harrison Mwakyembe. Kesho utasikia kanywea hafurukuti kama rafiki yake Samuel Sitta waliyeungana kusaliti ukombozi wa taifa kwa tamaa ya vyeo uchwara. Je nini kimemsibu Anna Tibaijuka?
Alikuwa ana nia nzuri tu lakini alikuwa yuko nje ya system na alikuwa hajui nini kinaendelea ndani,sasa amekalishwa chini akaambiwa kuwa anaowabomolea ndio wafadhili wao katika mishe mishe zao hao Magamba,sasa kwa kuwa na yeye bado ana njaa ukabidi a MUTE au ale kabinyau ale bata kidogo!Si unajua mambo ya VX V8!
 
Alivyoanza tu nkajua kwa vyovyote vile ilikuwa ni nguvu ya soda, hawezi mtu kusimamia maamuzi mazuri kwa uhakika akiwa ndani ya thithimwewe!!!!!!
 
Niliwahi kuandika kuwa kazi hiyo hataiweza na nikaweka majina ya watu wanaomiliki mabaa yaliyojengwa katika hifadhi ya baraara, mpaka leo ... hakuna kitu. Tusiwe na matumaini, kwa sababu alishindwa kabla hajaanza.
 
Chezea Magamba weeweeeeeeee!
 
Kwa wanaokumbuka gea kubwa aliyoingia nayo waziri wa Ardhi maendeleo na makazi profesa Anna Tibaijuka wanajiuliza: je ilikuwa ni nguvu ya soda au amezimwa na mafisadi kama siyo bosi wake? Maana siku hizi hasikiki akitoa taarifa ya viwanja alivyorejesha au kuamuru virejeshwe. Je amekatiwa chake akaamua kuuchuna au ametishwa na washirika wa bosi wake? Kweli Tanzania ni nchi ya sanaa. Leo tunaye anayewika Dk Harrison Mwakyembe. Kesho utasikia kanywea hafurukuti kama rafiki yake Samuel Sitta waliyeungana kusaliti ukombozi wa taifa kwa tamaa ya vyeo uchwara. Je nini kimemsibu Anna Tibaijuka?
Amesha tulizwa siku nyingi
 
Huyu mama wa kishomile hana lolote! zilikuwa ni nguvu za soda kwanza alipigwa chini UN habitat kama alivyopigwa chini Asha-rose migiro! Hafai hata kuwa diwani bora arudi udsm akafundishe au afanye biashara ya kuuza senene.
 
potential land yote ya tz imeshikiliwa na matajir na wanasiasa wafanya maamuz ya nchi hii,tibaijuka hawez kupambana na system iliyopo sanasana ameamua kujiunga nayo ukipewa list ya ardh anayomilik mama tiba na mkwanja alotengeneza toka awe wazir wa ardh utachoka mwenyewe wapo wengi watendaj wazur kwenye wizara ya ardh na hata halmashaur zetu bt ukishaingia kwenye utendaj wa ardh wenye nazo lazima wakuweke mfukoni akijifanya mjanja unatolewa town na ku2pwa vijijini sheria ipo ya kusimamia ardh japo inamapungufu yake ila kwa nguvu ya vigogo inapindishwa.tusimlaumu mama yetu tiba wizara yake mambo mazito ckama tudhaniavyo.suluhisho la hayo yote ni kuchange the whole system
 
nasikitika wachangia mada wengi hawamfahamu huyu mwanamama vizuri, nivizuri kumfahamu mutu unaye taka kumwelezea, hata kuweka mategemeo kwake, kwanza huyu mama mwenyewe in mvamizi no 1 wa maeneo ya wazi. sasa atawezaje kusimamia kitu ambacho yeye mweyewe ni muhalifu, kiwanja chake no 413 mikocheni residential area kiko kwenye open space/eneo lililoachwa kwenye mchoro wa mipango miji wa mwaka 1979 kwajili ya kupitisha bomba la maji taka la dawasa. na yeye kilasiku anazungumzia kwamba inasimamia mchoro wa mipango miji wa mwaka 1979, mbaya zaidi pembeni ya kiwanja chake/ nyumbani kwake mikocheni amechukua eneo lingine la wazi na kuli fence na kaulizwa inakuaje kafence eneo la wazi anasema analilinda lisivamiwe, wakati fence hiyo inejengwa takiribani miaka 20 iliyopita, yeye alipewa na nani kibalicha kuendeleza maeneo ya wazi kwa kisingizio cha kuyalinda. haya ni kweli kwa 100% naomba fuatilieni mtaona, nitaweka picha j3 muone. hana jipia yeye ndiyo fisadi no 1 wa aridhi, alishindwa un habitat akafukuzwa hapa Tz atatufajia nini?
 
Back
Top Bottom