Anna Makinda acha unafiki- Unaibeba CCM waziwazi- Aipiga kalenda tena hoja ya Mh. Lema

SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,955
2,125
Nimefuatilia bunge leo mwanzo hadi mwisho kwa mara ya kwanza. Baada ya kulazimisha kibabe kupitisha muswada wa serikali, mwishoni ndio anamvika kilemba cha ukoka Mh.Tundu Lissu.
Katika zoezi la upigaji kura ameonyesha dhahiri kuibeba CCM. Hata hoja ya Mh Lema ameisogeza mbele hadi bunge lijalo kwa kisingizio cha kukosa muda wa kuisoma
 
hawa wanarudi bungeni kutokana na ignorance ya wannanchi wa jimbo lake..unafikiri angekuwa mmbunge wa jimbo lolote la dar angerudi tena bungeni?
 
hawa wanarudi bungeni kutokana na ignorance ya wannanchi wa jimbo lake..unafikiri angekuwa mmbunge wa jimbo lolote la dar angerudi tena bungeni?
Kuna wehu walimuuzia ushindi kwa shilingi mil 2.5 Mkuu So wananchi walikuwa hawana option
 
Ni huzuni kuwa na spika wa aina kwani maamuzi yake yanazidi kuwaondolea imani wananchi dhidi ya serikali yao. Hoja ya lema ilitakiwa ijibiwe mapema na sasa anataka tuamini waziri mkuu kudanganya watanzania si hoja nzito! spika huyu naona hata maliza muda wake atajiuzulu mwenyewe kwa madudu yake!
 
Mama kiroboto ni mnafiki badala kusimamia maslai ua nchi anasimamia maslai ya Mafisadi
 
Ni huzuni kuwa na spika wa aina kwani maamuzi yake yanazidi kuwaondolea imani wananchi dhidi ya serikali yao.

maamuzi yake pia yanazidi kuonyesha kuwa ni dhambi kubwa kumchagua mtu kwa nafasi ya uongozi ama kazi kwa kuanzingatia kigezo cha yeye kuwa na "K" eti ndo apewe hiyo nafasi!
Baba wa Taifa alisema .....kwanza anagalia mnachangamoto zipi na mnataka kufikia wapi ...then muanagalie nani anasifa na uwezo wa kuwafikisha hapo! Ni ajabu Leo hii ccm wanaangalia nani ana "K" apewe uongozi!!
 
wa kuwaua ni kina lowasa,rostam, chenge na mafisadi wengine waliomteua kuwa spika kwa kisingizio cha uanamke, ndio waliotuharibia kila kitu. ona madudu hayo sasa. watu wa njombe nao basi tu,bado wako kizani,hakuwa wa kuchaguliwa huyu tena
 
Me mwenyewe nimehuzunika sana,mambo alivyo yapeleka ki upendendeo,haoni hata aibu huyu bibi hafai kabisa na wigi lake,anaharibu bunge wazi wazi,shame on u.
 
nadhani nguvu ya umma yatakiwa kuwa exploited kuhakikisha huu mzigo unajirekebisa ama unaachia usipika haraka sana..vinginevyo miaka5 itakuwa aibu ya karne kwa Taifa letu,hivi wanamama huyu spika ndo reflection yenu? na kama siyo kwanini msimwambie mwenzenu jamani,tutawaamini tena?
 
Huyu Mama kweli Ana Makinda tena ya kunguru loh! Ni janga huyu Mama tena la kitaifa. Lakini mwisho ungalipo unakuja hima. Shime wanaharakati wote tupigeni kelele za kuamshana.
 
I never expected anything positive from her anyway, so I am least surprised of all the mishaps she is causing...We knew she is a disaster and she is just doing exactly that....
 
maamuzi yake pia yanazidi kuonyesha kuwa ni dhambi kubwa kumchagua mtu kwa nafasi ya uongozi ama kazi kwa kuanzingatia kigezo cha yeye kuwa na "K" eti ndo apewe hiyo nafasi!
Baba wa Taifa alisema .....kwanza anagalia mnachangamoto zipi na mnataka kufikia wapi ...then muanagalie nani anasifa na uwezo wa kuwafikisha hapo! Ni ajabu Leo hii ccm wanaangalia nani ana "K" apewe uongozi!!

duh, kumbe hii kitu siku hizi ni mtaji wa kisiasa eeh!!!
 
maamuzi yake pia yanazidi kuonyesha kuwa ni dhambi kubwa kumchagua mtu kwa nafasi ya uongozi ama kazi kwa kuanzingatia kigezo cha yeye kuwa na "K" eti ndo apewe hiyo nafasi!
Baba wa Taifa alisema .....kwanza anagalia mnachangamoto zipi na mnataka kufikia wapi ...then muanagalie nani anasifa na uwezo wa kuwafikisha hapo! Ni ajabu Leo hii ccm wanaangalia nani ana "K" apewe uongozi!!

Tumia lugha fasaha tafadhali!.....
 
Hard copy ya taarifa anayo kama watu walivyokuwa nayo humu jf, ujumbe wa lema uko waziwazi. Jana walishatengua kanuni ili wamalize shughuli zote? Si angetoa uamuzi ili tujue mbivu na mbichi?
 
Makinda naye gamba tena la nguruwe! hoja ya Lema ni aibu kw CCm,ila atasoma tu,akikataa tunaitisha peoplez power
 
wa kuwaua ni kina lowasa,rostam, chenge na mafisadi wengine waliomteua kuwa spika kwa kisingizio cha uanamke, ndio waliotuharibia kila kitu. ona madudu hayo sasa. watu wa njombe nao basi tu,bado wako kizani,hakuwa wa kuchaguliwa huyu tena
Mkuu watu wa Njombe hawakuwa na option baada ya kiongozi mmoja wa Chadema kupokea mil 2.5 kwa huyu Mama ili mgombea aliyechukua fomu aingie mitini. Ndio maana huyu Bibi alipita bila kupingwa huku Chadema ikipata kura nyingi za Urais jimbo kwake
 
Back
Top Bottom